Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Misri

  • Misri kupokea ndege za kivita kutoka Russia kabla ya Biden kuingia White House

    Misri kupokea ndege za kivita kutoka Russia kabla ya Biden kuingia White House

    Dec 18, 2020 08:45

    Duru za habari za Misri zimearifu kuwa, serikali ya nchi hiyo inafanya jitihada ili kupokea awamu ya kwanza ya ndege za kivita kutoka Russia kabla ya kuingia White House Joe Biden Rais mteule wa Marekani.

  • Safari ya Rais wa Misri nchini Ufaransa na kupamba moto upinzani na malalamiko dhidi yake

    Safari ya Rais wa Misri nchini Ufaransa na kupamba moto upinzani na malalamiko dhidi yake

    Dec 09, 2020 21:58

    Safari ya hivi karibuni ya Rais Abdel Fattah el Sisi wa Misri nchini Ufaransa na mazungumzo aliyofanya na Rais Emmanuel Macron wa nchi hiyo vimeibua hasira na malalamiko ya waungaji mkono wa haki za binadamu.

  • Rais wa Misri atupiwa lawama nyingine

    Rais wa Misri atupiwa lawama nyingine

    Dec 08, 2020 03:58

    Mashirika mengi ya haki za binadamu yamemtupia lawama chungu nzima Rais Abdel Fattah el Sisi wa Misri wakati huu wa ziara yake mjini Paris, Ufaransa.

  • Baada ya mashinikizo ya kimataifa, Misri yawaachia huru wanaharakati watatu wa haki za binadamu

    Baada ya mashinikizo ya kimataifa, Misri yawaachia huru wanaharakati watatu wa haki za binadamu

    Dec 04, 2020 03:15

    Serikali ya Misri imewaachia huru wafanyakazi watatu wa shirika kubwa la kutetea haki za binadamu nchini humo kufuatia mashinikizo ya kimataifa.

  • Misri yaionya Israel kwa hatua yake ya kuendeleza ujenzi wake wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni

    Misri yaionya Israel kwa hatua yake ya kuendeleza ujenzi wake wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni

    Nov 26, 2020 23:00

    Serikali ya Misri imeuonya utawala haramu wa Israel kwa hatua yake ya kutaka kujenga vitongoji vipya vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi za Palestina unazozikalia kwa mabavu ambazo zimepachikwa jina bandia la Israel.

  • Serikali ya Misri yatakiwa kuwaachia huru wanaharakati 3 wa haki za binadamu

    Serikali ya Misri yatakiwa kuwaachia huru wanaharakati 3 wa haki za binadamu

    Nov 23, 2020 01:06

    Idadi kubwa ya wahadhiri wa vyuo vikuu na watetezi wa haki za binadamu kote ulimwenguni wamewataka viongozi wa serikali ya Misri iwaachie huru haraka iwezekanavyo wanachama watatu wa taasisi moja ya kutetea haki za binadamu ya nchini humo.

  • Misri na Sudan kufanya mazoezi ya pamoja ya kijeshi kukabiliana na Ethiopia

    Misri na Sudan kufanya mazoezi ya pamoja ya kijeshi kukabiliana na Ethiopia

    Nov 15, 2020 04:41

    Majeshi ya Misri yametoa taarifa kuhusu mpango wa kufanyika luteka na mazoezi ya pamoja ya anga ya kijeshi kati ya nchi hiyo na Sudan katika anga ya Sudan.

  • Al Azhar: Itungwe sheria ya kutambua hujuma dhidi ya Uislamu kuwa ni uhalifu

    Al Azhar: Itungwe sheria ya kutambua hujuma dhidi ya Uislamu kuwa ni uhalifu

    Oct 28, 2020 23:25

    Sheikh Mkuu wa al Azhar nchini Misri amekosoa matamshi ya chuki na hujuma ya Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa dhidi ya Uislamu na kutoa wito wa kutungwa sheria inayotambua chuki na uhasama dhidi ya Waislamu kuwa ni uhalifu.

  • Baada ya vitisho vya Trump IGAD yataka mazungumzo ya Ethiopia na Misri kuhusu bwawa

    Baada ya vitisho vya Trump IGAD yataka mazungumzo ya Ethiopia na Misri kuhusu bwawa

    Oct 26, 2020 03:48

    Shirika la Maendeleo la Kiserikali la Nchi za Mashariki mwa Afrika (IGAD) limehimiza mazungumzo yafanyike na mwafaka ufikiwe ili kuleta suluhu kuhusu kadhia ya bwawa kubwa linalojengwa na Ethiopia kwenye Mto Nile linalojulikana kama Grand Renaissance Dam (GERD).

  • Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Ethiopia: Matamshi ya Trump kuhusu bwawa la Renaissance ni ya kihalifu

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Ethiopia: Matamshi ya Trump kuhusu bwawa la Renaissance ni ya kihalifu

    Oct 25, 2020 08:40

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje ya Ethiopia ameyataja matamshi yaliyotolewa na Rais Donald Trump wa Marekani kuhusu bwawa la Renaissance kuwa ni jinai na uhalifu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS