Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Misri

  • Ikhwanul Muslimin wakanusha kufanya mazungumzo ya siri na serikali ya Misri

    Ikhwanul Muslimin wakanusha kufanya mazungumzo ya siri na serikali ya Misri

    Jul 07, 2018 00:09

    Msemaji wa harakati ya Ikhwanul Muslimin ya Misri amekanusha habari ya kufanyika mazungumzo ya siri baina ya harakati hiyo kubwa zaidi ya kisiasa ya upinzani na serikali ya nchi hiyo.

  • Misri: Migogoro ya kieneo haiwezi kupatiwa ufumbuzi kwa mtutu wa bunduki

    Misri: Migogoro ya kieneo haiwezi kupatiwa ufumbuzi kwa mtutu wa bunduki

    Jul 05, 2018 03:03

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Misri amesema kuwa, nchi yake inafanya juhudi kubwa katika mwenendo wa kupatiwa ufumbuzi migogoro wa Syria na Libya na kusisitiza kwamba, migogoro inayoshuhudiwa hivi sasa katika eneo la Mashariki ya Kati na kaskazini mwa Afrika ufumbuzi wake sio mtutu wa bunduki.

  • Ikwanul Muslimin yapinga hatua ya al Sisi ya kuwapa kinga makamanda wa jeshi la Misri

    Ikwanul Muslimin yapinga hatua ya al Sisi ya kuwapa kinga makamanda wa jeshi la Misri

    Jul 04, 2018 08:42

    Msemaji wa harakati ya Ikhwanul Muslimin nchini Misri amekosoa hatua ya serikali ya Jenerali Abdul Fattah al Sisi ya kuimarisha nafasi ya wanajeshi nchini humo na mwafaka wa Bunge wa kuwapa kinga ya sheria makamanda wa jeshi la nchi hiyo.

  • Mashirika ya kutetea haki za binadamu yaitaka Ufaransa iache kuiuzia silaha Misri

    Mashirika ya kutetea haki za binadamu yaitaka Ufaransa iache kuiuzia silaha Misri

    Jul 02, 2018 03:13

    Mashirika kadhaa ya kutetea haki za binadamu yameitaka serikali ya Ufaransa kusimamisha uuzaji wa silaha kwa Misri, yakisisitiza kuwa silaha hizo zinatumiwa na vyombo vya usalama kuwanyamazisha na kuwawekea mbinyo wapinzani na wakosoaji wa serikali.

  • Makahama ya Misri yaakhirisha hukumu ya watuhumiwa wa Medani ya Rabia

    Makahama ya Misri yaakhirisha hukumu ya watuhumiwa wa Medani ya Rabia

    Jun 30, 2018 11:46

    Mahakama ya Jinai ya Cairo leo Jumamosi imeamua kuakhirisha hukumu ya mwisho dhidi ya watu 739 walioshiriki katika maandamano ya mwaka 2013 ambayo yalisambaratishwa kwa mabavu na vyombo vya usalama na kusababisha moja kati ya mauaji makubwa zaidi ya raia katika historia ya sasa ya nchi hiyo.

  • "Saudia iliipa hongo timu ya taifa ya Misri ikubali kuifunga kombe la dunia" - Mwandishi

    Jun 27, 2018 03:25

    Mwandishi mmoja wa Misri amelalamika kuwa serikali ya nchi yake ilipokea rushwa na hongo kutoka kwa Saudi Arabia na kuilazimisha timu ya taifa ya nchi hiyo ikubali kufungwa na Saudia katika mashindano ya fainali za kombe la dunia yanayoendelea nchini Russia hivi sasa.

  • Hali ya hatari yarefushwa nchini Misri

    Hali ya hatari yarefushwa nchini Misri

    Jun 24, 2018 22:24

    Bunge la Misri kwa mara ya nne limeongeza muda wa hali ya hatari kwa miezi mingine mitatu.

  • Harakati ya mitandao ya kijamii ya kumtaka Rais Sisi wa Misri aondoke madarakani

    Harakati ya mitandao ya kijamii ya kumtaka Rais Sisi wa Misri aondoke madarakani

    Jun 23, 2018 20:44

    Kufuatia kuendelea kuwa mbaya mgogoro wa kiuchumi na kisiasa nchini Misri, wananchi ambao wanakandamizwa sasa wameamua kutumia mitandao ya kijamii hasa Twitter kulalamikia utawala wa Rais Abdel Fatah el Sisi huku wengi wakimtaka aondoke madarakani.

  • Misri yachukua hatua kali za usalama kukabiliana na malalamiko ya wananchi

    Misri yachukua hatua kali za usalama kukabiliana na malalamiko ya wananchi

    Jun 17, 2018 22:36

    Serikali ya Misri imechukua hatua kali za kiusalama kwa ajili ya kukabiliana na malalamiko ya wananchi baada ya kuzidishwa bei ya nishati nchini humo.

  • Al Azhar yalaani wito wa kufutwa aya za Qur'ani

    Al Azhar yalaani wito wa kufutwa aya za Qur'ani

    Jun 12, 2018 03:47

    Sheikh Mkuu wa Al Azhar nchini Misri, Ahmad Tayyib amekosoa vikali wito uliotolewa na kundi la eti wasomi na wanasiasa wa Ufaransa wa kufutwa aya za Qur'ani tukufu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS