-
Harakati ya mitandao ya kijamii ya kumtaka Rais Sisi wa Misri aondoke madarakani
Jun 23, 2018 20:44Kufuatia kuendelea kuwa mbaya mgogoro wa kiuchumi na kisiasa nchini Misri, wananchi ambao wanakandamizwa sasa wameamua kutumia mitandao ya kijamii hasa Twitter kulalamikia utawala wa Rais Abdel Fatah el Sisi huku wengi wakimtaka aondoke madarakani.
-
Misri yachukua hatua kali za usalama kukabiliana na malalamiko ya wananchi
Jun 17, 2018 22:36Serikali ya Misri imechukua hatua kali za kiusalama kwa ajili ya kukabiliana na malalamiko ya wananchi baada ya kuzidishwa bei ya nishati nchini humo.
-
Al Azhar yalaani wito wa kufutwa aya za Qur'ani
Jun 12, 2018 03:47Sheikh Mkuu wa Al Azhar nchini Misri, Ahmad Tayyib amekosoa vikali wito uliotolewa na kundi la eti wasomi na wanasiasa wa Ufaransa wa kufutwa aya za Qur'ani tukufu.
-
Kiongozi wa HAMAS: Iran ni nchi muhimu na mhimili wa msingi katika eneo
Jun 11, 2018 10:30Mkuu wa ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (HAMAS) ameuenzi na kuusifu mchango wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika kuihami na kuiunga mkono Palestina na kusisitiza kwamba: Hamas haiungi mkono mhimili wowote wa Kiarabu au wa kieneo dhidi ya mhimili mwengine.
-
Watu wanne wauawa katika mapigano ya jeshi la Misri na magaidi Sinai Kaskazini
Jun 11, 2018 09:36Duru za habari za Misri zimetangaza habari ya kuuawa watu wanne katika mapigano yaliyozouka baina ya jeshi la Misri na makundi yenye silaha katika mkoa wa Sinai Kaskazini.
-
Misri na Imarati zapinga kufanyika uchaguzi wa Rais na Bunge nchini Libya
Jun 09, 2018 22:19Misri na Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) zimeelezea kutofurahishwa kwao na maamuzi wa mkutano wa mjini Paris Ufaransa kuhusiana na Libya na kusema kuwa zinapinga uchaguzi wa Rais na Bunge uliopangwa kufanyika nchini humo tarehe 10 Disemba mwaka huu.
-
Israel yafichua kuwa, mkuu wa usalama wa Taifa nchini Misri amefanya safari ya siri Tel Aviv
Jun 07, 2018 02:59Vyombo vya utawala haramu wa Israel vimetangaza kwamba, mkuu wa usalama wa taifa nchini Misri amefanya safari ya siri mjini Tel Aviv kwa ajili ya makubaliano yaliyo nyuma ya pazia yanayoitwa 'Muamala wa Karne' kati ya Marekani, Israel pamoja na Misri.
-
UN yaelezea wasi wasi wake kuhusu kushtadi kamatakamata Misri
Jun 06, 2018 03:07Ofisi ya Kutetea Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa imeeleza juu ya wasi wasi mkubwa ilionao kutokana na kushtadi wimbi la kamatakamata nchini Misri.
-
Mwaka mmoja wa mgogoro kati ya nchi za Kiarabu
Jun 06, 2018 01:27Umetimia mwaka mmoja tokea uanze mgogoro baina ya nchi za Kiarabu na dalili zote zinaonyesha kuwa mgogoro huo ungali unaendelea bali hata utazidi kupanuka na kuwa mbaya zaidi.
-
Marekani yafichua: Saudia iliunga mkono mapatano ya Camp David kati ya Misri na Israel
Jun 03, 2018 10:26Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imetoa nyaraka zinazofichua uungaji mkono wa utawala wa Saudi Arabia kwa mazungumzo ya mapatano kati ya utawala wa Kizayuni wa Israel na Misri na Jordan katika enzi za utawala wa Anwar Sadat nchini Misri.