Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Misri

  • Magaidi 8, askari 2 wa Misri wauawa katika mapigano eneo la Sinai

    Magaidi 8, askari 2 wa Misri wauawa katika mapigano eneo la Sinai

    May 29, 2018 22:14

    Jeshi la Misri limetangaza habari ya kuuawa askari wake wawili katika mapigano baina ya wanajeshi wa serikali na wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS) katika eneo la Sinai.

  • Kiongozi mashuhuri wa upinzani nchini Misri atiwa mbaroni

    Kiongozi mashuhuri wa upinzani nchini Misri atiwa mbaroni

    May 27, 2018 23:46

    Vyombo vya usalama vya Misri vimemtia mbaroni kiongozi mashuhuri wa upinzani nchini humo, Hazim Abdelazim.

  • Mgogoro wa Qatar na nchi za Kiarabu wazidi kutokota, Doha yapiga marufuku bidhaa za Saudia, Imarati, Bahrain na Misri

    Mgogoro wa Qatar na nchi za Kiarabu wazidi kutokota, Doha yapiga marufuku bidhaa za Saudia, Imarati, Bahrain na Misri

    May 27, 2018 00:13

    Katika hali inayoonekana ni kuzidi kuwa mkubwa mgogoro wa Qatar na nchi nne za Kiarabu zilizoizingira kila upande nchini hiyo, wizara ya uchumi na biashara ya Qatar jana ilipiga marufuku kuhifadhi, kunua na kuuza bidhaa yoyote iliyotengenezwa Saudi Arabia, Umoja wa Falme za Kiarabu yaani Imarati, Bahrain na Misri.

  • Al Azhar yalaani kitendo cha balozi wa Marekani cha kuufuta msikiti wa Al Aqsa katika taswira ya Quds

    Al Azhar yalaani kitendo cha balozi wa Marekani cha kuufuta msikiti wa Al Aqsa katika taswira ya Quds

    May 24, 2018 22:49

    Chuo Kikuu cha kidini nchini Misri cha Al Azhar kimelaani hatua ya balozi wa Marekani Israel David Friedman ya kuonyesha picha ya mandhari ya mji wa Baitul Muqaddas isiyo na msikiti mtukufu wa Al Aqsa ndani yake.

  • Sudan yalalamikia udhalilishaji wa Misri

    Sudan yalalamikia udhalilishaji wa Misri

    May 20, 2018 22:04

    Uhusiano baina ya Misri na Sudan umezidi kuharibika baada ya Khartoum kuilalamikia Cairo kuwa inafanya udhalilishaji dhidi yaWamisri waishio nchini Sudan.

  • Misri yafungua kivuko cha Rafah kwa ajili ya Ramadhani

    Misri yafungua kivuko cha Rafah kwa ajili ya Ramadhani

    May 18, 2018 23:44

    Misri imefungua tena kivuko cha Rafah, njia pekee inayotumiwa kufikishia misaada ya dharura kwa Wapalestina karibu milioni mbili walio chini ya mzingiro huko Ukanda Gaza tangu mwaka 2007 na kusema kuwa eneo hilo la mpakani litasalia wazi katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhani.

  • Magaidi 19 wauawa na jeshi la Misri katika eneo la Sinai

    Magaidi 19 wauawa na jeshi la Misri katika eneo la Sinai

    May 17, 2018 09:29

    Jeshi la Misri limetangaza habari ya kuangamizwa magaidi 19 katika operesheni iliyofanywa na jeshi la nchi hiyo katika Peninsula ya Sinai.

  • Mazungumzo ya Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni na wa Ulinzi wa Russia na Misri

    Mazungumzo ya Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni na wa Ulinzi wa Russia na Misri

    May 15, 2018 09:10

    Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni na wa Ulinzi wa Russia na Misri wamefanya mazungumzo ya pamoja katika mji mkuu wa Russia Moscow na kubadilishana mawazo kuhusiana na uhusiano wa pande mbili pamoja na masuala ya kieneo.

  • Magaidi 21 waangamizwa Rasi ya Sinai nchini Misri

    Magaidi 21 waangamizwa Rasi ya Sinai nchini Misri

    May 10, 2018 09:17

    Jeshi la Misri limetangaza habari ya kuangamizwa magaidi 21 katika operesheni ya pamoja iliyofanywa na jeshi na polisi wa nchi hiyo katika Rasi ya Sinai.

  • Serikali ya Misri yalaumiwa kwa kuwatesa wafungwa

    Serikali ya Misri yalaumiwa kwa kuwatesa wafungwa

    May 07, 2018 10:36

    Shirika la Kimataifa la Msahama Duniani la Amnesty International limelaani mateso wanayofanyiwa wafungwa na serikali ya Misri ikiwa ni pamoja na kuwekwa wafungwa wa kisiasa kwenye seli za mtu mmoja mmoja kwa muda mrefu na kusema kuwa, huo ni ushahidi wa wazi wa namna serikali ya Rais Abdul Fattah el Sisi inavyowatesa wafungwa nchini humo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS