Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Misri

  • Misri: Inawezekana kutuma nchini Syria vikosi vya Kiarabu

    Misri: Inawezekana kutuma nchini Syria vikosi vya Kiarabu

    May 04, 2018 09:04

    Misri imesema kuwa mazungumzo yanaendelea kufanyika baina ya maafisa wa nchi kadhaa kujadili pendekezo la Marekani la kuunda jeshi la Kiarabu litakalochukua nafasi ya wanajeshi wa Marekani waliopo Syria.

  • Al Sisi aahidi kuhitimisha oparesheni za jeshi huko Sinai

    Al Sisi aahidi kuhitimisha oparesheni za jeshi huko Sinai

    Apr 29, 2018 03:10

    Rais wa Misri ametangaza kuwa oparesheni za jeshi la nchi hiyo katika mkoa wa Sinai ya Kaskazini zitahitimishwa hivi karibuni.

  • Darul Iftaa ya Misri yakosoa ombi la shakhsia 300 wa Ufaransa

    Darul Iftaa ya Misri yakosoa ombi la shakhsia 300 wa Ufaransa

    Apr 25, 2018 10:03

    Katibu wa Idara Kuu ya Misri inayohusika na Fatwa za Kiislamu (Darul Iftaa) amekosoa ombi lililowasilishwa na shakhsia 300 wa Ufaransa waliotaka kuondolewa baadhi ya aya katika kitabu kitakatifu cha Qur'ani.

  • Misri na Imarati zatuhumiwa kuvuruga mchakato wa mapatano ya kitaifa Libya

    Misri na Imarati zatuhumiwa kuvuruga mchakato wa mapatano ya kitaifa Libya

    Apr 24, 2018 11:54

    Jumuiya ya International Action Group for Libya imezituhumu nchi za Imarati na Misri kuwa zinavuruga jitihada zinazofanywa na ujumbe wa Umoja wa Mataifa kwa ajili ya mapatano ya kitaifa nchini Libya.

  • Viongozi wengi wa Ikhwanul Muslimin ya Misri wawekwa katika orodha ya magaidi

    Viongozi wengi wa Ikhwanul Muslimin ya Misri wawekwa katika orodha ya magaidi

    Apr 23, 2018 12:10

    Mahakama ya Misri imeweka idadi kubwa ya maafisa wa ngazi za juu wa Harakati ya Ikhwanul Muslimin katika orodha ya magaidi.

  • Sheikh wa al-Azhar: Beitul-Muqaddas ni ardhi ya Waislamu

    Sheikh wa al-Azhar: Beitul-Muqaddas ni ardhi ya Waislamu

    Apr 21, 2018 23:17

    Sheikh Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kiislamu cha al-Azhar nchini Misri amesema kuwa, Beitul-Muqaddas ni ardhi ya Kiislamu na daima itaendelea kuubakia kuwa ni ya Kiislamu.

  • Sudan yaishtaki Misri kwa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa

    Sudan yaishtaki Misri kwa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa

    Apr 18, 2018 12:04

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Sudan amewasilisha mashtaka ya nchi yake dhidi ya Misri kwa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa baada ya Misri kuendesha uchaguzi wa rais katika maeneo ya mpakani yanayogombaniwa ya Halaib na Shalateen.

  • Rais wa Misri arefusha hali ya hatari kwa miezi mingine mitatu

    Rais wa Misri arefusha hali ya hatari kwa miezi mingine mitatu

    Apr 14, 2018 02:31

    Rais Abdul Fattah al-Sisi wa Misri ametangaza kurefusha muda wa hali ya hatari nchini humo kwa miezi mitatu mingine ambao ulianza kutekelezwa mwezi Aprili mwaka jana baada ya kujiri mashambulizi makubwa dhidi ya makanisa.

  • Human Rights Watch yaitaka Misri iheshimu haki za binadamu

    Human Rights Watch yaitaka Misri iheshimu haki za binadamu

    Apr 11, 2018 09:12

    Shirika la kimataifa la haki za binadamu la Human Rights Watch limemtaka Rais Abdul Fattah el Sisi wa Misri kuhakikisha kuwa uvunjaji wa haki za binadamu unakomeshwa nchini mwake katika kipindi cha pili cha urais wake.

  • Jeshi la Misri laua magaidi wanne Rasi ya Sinai

    Jeshi la Misri laua magaidi wanne Rasi ya Sinai

    Apr 08, 2018 22:08

    Jeshi la Misri linasema limewaua magaidi wane na kuwakamata wengine wengi katika oparesheni maalumu za kuwatimua magaidi walio katika eneo la Rasi ya Sinai.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS