-
AU: Hatua za dharura zichukuliwe kuinusuru Msumbiji
Apr 01, 2021 10:40Umoja wa Afrika (AU) umetoa mwito wa kuchukuliwa hatua za dharura katika ngazi za kieneo na kimataifa kufuatia kushtadi harakati na mashambulio ya magenge ya kigaidi kaskazini mwa Msumbiji.
-
Magufuli ahitimisha mkutano wa viongozi wa SADC, Dar
Aug 18, 2019 12:05Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) ambaye ni Rais wa Tanzania, John Magufuli leo amefunga Mkutano wa 39 wa Jumuiya hiyo katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam.
-
Rais wa Ivory Coast ataka haki itendeke kuhusu mauaji ya watu 3,000 nchini humo
Feb 11, 2019 13:44Rais Alassane Ouattara wa Kodivaa amesema kuwa lazima haki itendeke kuhusu mauaji ya watu 3,000 yaliyotokea nchini humo mwaka 2010 baada ya rais wa wakati huo Laurent Gbagbo kung'ang'ania madaraka na kukataa kuheshimu kura za wananchi.