-
Serikali ya Tunisia yaongeza muda wa hali ya hatari
Jun 21, 2016 03:47Muda wa hali ya hatari nchini Tunisia unamalizika leo Jumanne. Jana Jumatatu Rais wa Tunisia alitangaza kuongeza muda wa hali hiyo ya hatari kwa mwezi mmoja zaidi.
-
Eritrea yadai kuwa imeua askari 200 wa Ethiopia
Jun 17, 2016 04:41Eritrea imedai kuwa imeua mamia ya askari wa Ethiopia katika mapigano mapya yanayoendelea katika mpaka wa nchi mbili hizo za Pembe ya Afrika.