-
UN yatuma salamu za pole na rambirambi kwa wananchi na serikali ya Iran kufuatia mripuko wa Bandar Abbas
Apr 27, 2025 07:43Umoja wa Mataifa umetuma salamu za pole kwa wananchi na serikali ya Iran kufuatia mripuko mkubwa uliotokea katika bandari ya Shahidi Rajaee kusini mwa Iran jana Jumamosi.
-
Zelensky: Kombora lililoua raia 12 Kiev lilikuwa na vifaa vilivyotengezwa na makampuni ya silaha ya Marekani
Apr 27, 2025 02:33Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy amedai kuwa vifaa vilivyotengenezwa na makampuni ya Marekani vilipatikana kwenye kombora lililotumiwa kushambulia mji mkuu wa nchi hiyo Kyiv mapema wiki hii na kuua watu 12.
-
UNHCR yatoa wito wa kuwasaidia raia 3,000 wa Msumbiji waliokimbilia Malawi na Eswatini
Jan 02, 2025 07:47Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi UNHCR limetoa mwito wa kuwasaidia raia wapatao 3,000 wa Msumbiji waliohama nchi yao na kukimbilia nchi jirani za Malawi na Eswatini kufuatia machafuko yaliyozuka katika nchi yao baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba mwaka jana.
-
Hizbullah yaishambulia tena Tel Aviv kwa makombora, droni zake zawa jinamizi kwa jeshi la Israel
Nov 09, 2024 07:12Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Lebanon, Hizbullah imezishambulia tena kwa makombora ngome na vituo vya jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel katika mji wa Tel Aviv.
-
HAMAS: Mateka watatu, akiwemo raia wa US, waliuawa katika shambulio la Israel Nuseirat
Jun 10, 2024 08:06Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imesema mateka watatu waliuawa akiwemo raia wa Marekani katika shambulio la kinyama lililofanywa hivi karibuni na jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel kwenye kambi ya wakimbizi wa Kipalestina ya Nuseirat huko Ghaza, lililoua pia zaidi ya raia 270 wa Kipalestina.
-
Mashambulizi ya kigaidi Afghanistan na katika eneo yanahitaji mapambano makubwa dhidi ya ugaidi
Jan 11, 2024 04:05Kabul mji mkuu wa Afghanistan Jumanne wiki hii ulikumbwa na shambulio la kigaidi; na kwa mujibu wa Khalid Zadran, msemaji wa Polisi ya Kabul, watu watatu waliuawa na wengine wanne kujeruhiwa katika mripuko wa bomu lililokuwa limetegwa kwenye gari katika mkoa wa 16 wa kiusalama mjini Kabul.
-
Idadi ya walioaga dunia katika mripuko wa lori la mafuta Liberia yaongezeka
Dec 28, 2023 06:39Idadi ya watu waliopoteza maisha katika mripuko wa lori la mafuta uliotokea katikati ya Liberia imeongezeka na kufikia watu 40.
-
Makumi wauawa katika mripuko wa bomu nchini Pakistan; Iran yatoa mkono wa pole
Jul 31, 2023 03:10Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani vikali shambulio la kigaidi lililotokea jana nchini Pakistan na ametoa mkono wa pole kwa wananchi na serikali ya nchi hiyo ndugu na jirani.
-
Watu kadhaa wauawa katika miripuko miwili ya mabomu iliyotokea Mogadishu, Somalia
Jul 15, 2023 06:53Miripuko miwili ya mabomu iliyotokea Mogadishu, mji mkuu wa Somalia, imesababisha watu kadhaa kuuawa na kujeruhiwa.
-
Makumi ya Waislamu wauawa katika shambulizi lililolenga msikiti Peshawar, Pakistan
Jan 30, 2023 12:37Watu wasiopungua 56 wameuawa katika shambulizi la kujilipua kwa bomu lililotokea katika msikiti wa mji wa Peshawar huko kaskazini magharibi mwa Pakistan.