Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

mripuko

  • Milipuko miwili ya mabomu ya kutegwa garini yauwa watu tisa katikati mwa Somalia

    Milipuko miwili ya mabomu ya kutegwa garini yauwa watu tisa katikati mwa Somalia

    Jan 04, 2023 12:34

    Milipuko miwili ya mabomu imeuwa raia wasiopungua tisa na kujeruhi wengine kadhaa katikati ya Somalia.

  • 60 wauawa, 30 wajeruhiwa katika mripuko wa kigaidi ndani ya msikiti Kunduz, Afghanistan

    60 wauawa, 30 wajeruhiwa katika mripuko wa kigaidi ndani ya msikiti Kunduz, Afghanistan

    Jun 18, 2022 06:32

    Watu wasiopungua 60 wameuawa na wengine zaidi ya 30 wamejeruhiwa katika shambulio la kigaidi lililofanywa ndani ya msikiti mmoja wa Waislamu wa Kisuni mkoani Kunduz nchini Afghanistan.

  • Milipuko yaripotiwa karibu na kambi ya askari vamizi wa Marekani huko Syria

    Milipuko yaripotiwa karibu na kambi ya askari vamizi wa Marekani huko Syria

    May 01, 2022 09:22

    Milipuko kadhaa imeripotiwa karibu na kambi kubwa zaidi ya wanajeshi vamizi wa Marekani huko kaskazini mashariki mwa Syria.

  • Watu zaidi ya 27 wauawa katika hujuma ya kigaidi Kabul, Afghanistan

    Watu zaidi ya 27 wauawa katika hujuma ya kigaidi Kabul, Afghanistan

    Apr 19, 2022 12:13

    Wanafunzi zaidi ya 27 wameuawa kufuatia hujuma ya kigaidi katika shule moja ya wavulana katika mji mkuu wa Afghanistan, Kabul Jumanne.

  • Yemen yalaani shambulio la kigaidi lililoua Waislamu waliokuwa wakisali Sala ya Ijumaa, Pakistan

    Yemen yalaani shambulio la kigaidi lililoua Waislamu waliokuwa wakisali Sala ya Ijumaa, Pakistan

    Mar 06, 2022 04:21

    Wizara ya Mambo ya Nje serikali ya uwokovu wa kitaifa ya Yemen imelaani shambulio la kigaidi lililolenga Waislamu waliokuwa wakisali ndani ya msikiti mmoja wa mji wa Peshawar, kaskazini-magharibi mwa Pakistan.

  • Sauti ya mlipuko yasikika Baghdad mji mkuu wa Iraq

    Sauti ya mlipuko yasikika Baghdad mji mkuu wa Iraq

    Jan 24, 2022 08:17

    Duru za habari zimearifu kuwa sauti ya mlipuko imesikika mapema leo magharibi mwa Baghdad mji mkuu wa Iraq.

  • Utawala wa Kizayuni wathibitisha kutokea miripuko mitatu Tel Aviv na katika bandari ya Yafa

    Utawala wa Kizayuni wathibitisha kutokea miripuko mitatu Tel Aviv na katika bandari ya Yafa

    Jan 01, 2022 07:55

    Duru za Kiebrania zimeripoti kuwa milio ya miripuko kadhaa imesikika katika mji mkuu wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel Tel Aviv na bandari ya Yafa, katika ardhi hizo za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu.

  • Watu watano waaga dunia katika mlipuko wa bomu karibu na shule huko Mogadishu

    Watu watano waaga dunia katika mlipuko wa bomu karibu na shule huko Mogadishu

    Nov 25, 2021 08:15

    Watu watano wameuawa na wengine zaidi ya 12 wamejeruhiwa hii leo katika mlipuko wa bomu lililokuwa limetegwa ndani ya gari karibu na shule moja katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu.

  • Kwa akali watu 15 wauawa katika milipuko miwili ya mabomu nchini Somalia

    Kwa akali watu 15 wauawa katika milipuko miwili ya mabomu nchini Somalia

    Aug 11, 2021 07:41

    Kwa akali watu 15 wanaripotiwa kuuawa nchini Somalia na makumi ya wengine kujeruhiwa kufuatia shambulio la kigaidi la milipuko miwili ya mabomu katika eneo moja katikati mwa nchi hiyo.

  • 13 wapoteza maisha Kenya baada la lori la petroli kulipuka

    13 wapoteza maisha Kenya baada la lori la petroli kulipuka

    Jul 18, 2021 14:17

    Watu 13 wamepoteza maisha na wengine kadhaa wamejeruhiwa wakati lori la mafuta lilipoanguka na kuripuka, magharibi mwa Kenya.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS