-
Mwakilishi wa mfalme wa Bahrain aingia msikiti wa Al Aqsa kwa kificho kwa kuwahofu Wapalestina
Nov 30, 2020 11:25Mwakilishi wa Mfalme wa Bahrain na wenzake aliofuatana nao wameingia msikiti wa Al Aqsa kwa kujificha wakihofu wasije wakatambuliwa na Wapalestina.
-
Tangazo la biashara la shirika la ndege la UAE lapotosha jina la Msikiti wa Al Aqsa
Nov 17, 2020 05:37Shirika la ndege la taifa la Umoja wa Falme za Kiarabu limepotosha jina la msikiti wa Al Aqsa katika filamu ya tangazo la biashara lililotoa kutangaza safari zake kuelekea ardhi zinazokaliwa kwa mabavu za Palestina zilizopewa jina la Israel.
-
Waziri Mkuu wa Palestina: Inasikitisha kuona Wapalestina wanazuiwa kuswali Masjidul Aqsa huku Waimarati wakiruhusiwa kuingia eneo hilo
Oct 19, 2020 15:35Waziri Mkuu wa Palestina amesema kuwa kitendo cha kuruhusiwa ujumbe wa Imarati kuingia ndani ya Msikiti wa al Aqsa huku Wapalestina wakizuiwa kuswali katika msikiti huo, kinauma sana.
-
Tahadhari kuhusu njama ya Wazyuni dhidi ya Msikiti wa Al Aqsa
Oct 11, 2020 08:07Sheikh Ekrima Sa'id Sabri, Mkuu wa Baraza Kuu la Kiislamu katika mji wa Quds (Jerusalem) na khatibu katika Msikiti wa Al Aqsa mjini humo ametahadharisha kuhusu njama ya utawala wa Kizayuni wa Israel ya kutaka kutwaa sehemu ya msikiti huo ambao ni qibla cha kwanza cha Waislamu.
-
Khatibu wa Msikiti wa al Aqswa: Ni haramu kuimba "wimbo wa taifa" wa Israel
Sep 22, 2020 02:37Khatibu wa Msikiti wa al Aqswa ambaye pia ni Rais wa Kamati Kuu ya Kiislamu ya Mji wa Quds (Jerusalem) amesema kuwa ni haramu kwa Waislamu kuimba wimbo wa taifa wa Israel.
-
Makumi ya maelfu ya Wapalestina wasali Sala ya Idi katika msikiti wa Al Aqsa
Jul 31, 2020 15:36Makumi ya maelfu ya Wapalestina wamesali Sala ya Idul-Adh'ha katika msikiti wa Al Aqsa licha ya hatua za kiuadui zilizochukuliwa dhidi yao na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.
-
Vijana wa Kipalestina wakabiliana na Wazayuni waliotaka kuvamia Msikiti wa al-Aqswa
Jul 30, 2020 07:32Vijana wa Kipalestina wamekabiliana na walowezi wa Kizayuni waliokuwa wakifanya juhudi za kuvamia na kuingia katika Msikiti wa al-Aqswa.
-
Hamas: Msikiti wa al Aqsa ni mstari mwekundu kwa taifa la Palestina na Waislamu
Jul 18, 2020 08:05Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesisitiza kuwa, mji mtakatifu wa Quds pamoja na Msikiti wa al Aqsa ambao ni Kibla cha Kwanza cha Waislamu, ni mstari mwekundu kwa taifa la Palestina na kambi ya muqawama na kwamba kuyaunga mkono maeneo hayo matakatifu ni jukumu la kidini na kimaadili la mataifa yote ya Waislamu.
-
Wazayuni wauhujumu Msikiti wa Al Aqsa
Jun 10, 2020 04:54Makumi ya walowezi wa Kizayuni, wakiwa wanapata himaya ya wanajeshi wa utawala wa Israel wameuhujumu Msikiti wa Al Aqsa katika mji wa Quds (Jerusalem).
-
Mufti wa Palestina atoa wito kwa Waislamu kuunga mkono malengo ya Palestina
Jun 01, 2020 03:50Mufti wa Palestina ameutaka Umma wa Kiislamu na Kiarabu kutekeleza majukumu yao kuhusu Quds na Palestina na kuyatetea matukufu yake.