-
Tahadhari kuhusu njama ya Wazyuni dhidi ya Msikiti wa Al Aqsa
Oct 11, 2020 04:37Sheikh Ekrima Sa'id Sabri, Mkuu wa Baraza Kuu la Kiislamu katika mji wa Quds (Jerusalem) na khatibu katika Msikiti wa Al Aqsa mjini humo ametahadharisha kuhusu njama ya utawala wa Kizayuni wa Israel ya kutaka kutwaa sehemu ya msikiti huo ambao ni qibla cha kwanza cha Waislamu.
-
Khatibu wa Msikiti wa al Aqswa: Ni haramu kuimba "wimbo wa taifa" wa Israel
Sep 21, 2020 23:07Khatibu wa Msikiti wa al Aqswa ambaye pia ni Rais wa Kamati Kuu ya Kiislamu ya Mji wa Quds (Jerusalem) amesema kuwa ni haramu kwa Waislamu kuimba wimbo wa taifa wa Israel.
-
Makumi ya maelfu ya Wapalestina wasali Sala ya Idi katika msikiti wa Al Aqsa
Jul 31, 2020 11:06Makumi ya maelfu ya Wapalestina wamesali Sala ya Idul-Adh'ha katika msikiti wa Al Aqsa licha ya hatua za kiuadui zilizochukuliwa dhidi yao na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.
-
Vijana wa Kipalestina wakabiliana na Wazayuni waliotaka kuvamia Msikiti wa al-Aqswa
Jul 30, 2020 03:02Vijana wa Kipalestina wamekabiliana na walowezi wa Kizayuni waliokuwa wakifanya juhudi za kuvamia na kuingia katika Msikiti wa al-Aqswa.
-
Hamas: Msikiti wa al Aqsa ni mstari mwekundu kwa taifa la Palestina na Waislamu
Jul 18, 2020 03:35Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesisitiza kuwa, mji mtakatifu wa Quds pamoja na Msikiti wa al Aqsa ambao ni Kibla cha Kwanza cha Waislamu, ni mstari mwekundu kwa taifa la Palestina na kambi ya muqawama na kwamba kuyaunga mkono maeneo hayo matakatifu ni jukumu la kidini na kimaadili la mataifa yote ya Waislamu.
-
Wazayuni wauhujumu Msikiti wa Al Aqsa
Jun 10, 2020 00:24Makumi ya walowezi wa Kizayuni, wakiwa wanapata himaya ya wanajeshi wa utawala wa Israel wameuhujumu Msikiti wa Al Aqsa katika mji wa Quds (Jerusalem).
-
Mufti wa Palestina atoa wito kwa Waislamu kuunga mkono malengo ya Palestina
May 31, 2020 23:20Mufti wa Palestina ameutaka Umma wa Kiislamu na Kiarabu kutekeleza majukumu yao kuhusu Quds na Palestina na kuyatetea matukufu yake.
-
HAMAS yalaani jinai za utawala wa Kizayuni dhidi ya Kibla cha Kwanza cha Waislamu
May 30, 2020 07:55Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, harakati hiyo kamwe haitoruhusu utawala wa Kizayuni uendelee kufanya jinai dhidi ya Msikiti wa al Aqsa (Kibla cha Kwanza cha Waislamu).
-
Askari wa Kizayuni washambulia Wapalestina katika Swala ya Idi
May 24, 2020 03:27Wanjeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamewashambulia Wapalestina waliokuwa wamefika katika Msikiti wa Al-Aqsa mjini Quds kwa ajili ya ibada.
-
Walowezi wa Kizayuni wazidi kuingia katika Msikiti wa al-Aqswa huku Waislamu wakizuiwa
Apr 04, 2020 03:18Idadi ya walowezi wa Kizayuni wanaoingia katika Msikiti wa al-Aqswa huko Palestina inazidi kuongezeka siku baada ya siku huku Waislamu wakizuiwa kuingia katika eneo hilo takatifu kwa kisingizio cha kukabiliana na ueneaji wa virusi vya Corona.