Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Msikiti wa al Aqsa

  • Askari wa Israel wavamia Msikiti wa al Aqsa, wawazuia Waislamu kuswali Ijumaa

    Askari wa Israel wavamia Msikiti wa al Aqsa, wawazuia Waislamu kuswali Ijumaa

    Jan 24, 2020 13:30

    Askari wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamevamia Msikiti mtukufu wa al Aqsa na kuwajeruhji Wapalestina wengi katika viwanja vya msikiti huo wakiwazuia kutekeleza ibada ya Swala ya Ijumaa.

  • Hamas: Masjidul Aqsa ni mstari mwekundu usiopaswa kuguswa

    Hamas: Masjidul Aqsa ni mstari mwekundu usiopaswa kuguswa

    Dec 11, 2019 04:34

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imetahadharisha kuhusu vitendo vya walowezi wa Kizayuni vya kuendelea kuuvunjia heshima Msikiti wa al Aqsa huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.

  • HAMAS: Kuuvunjia heshima Msikiti wa al Aqsa ni kuchochea hisia za Waislamu duniani

    HAMAS: Kuuvunjia heshima Msikiti wa al Aqsa ni kuchochea hisia za Waislamu duniani

    Oct 17, 2019 04:28

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imesisitiza kuwa, hatua ya mamia ya walowezi wa Kizayuni ya kukivunjia heshima Kibla cha Kwanza cha Waislamu yaani Msikiti wa al Aqsa ni udhalilishaji na uchochezi wa wazi wa hisia za umma mzima wa Kiislamu na Kiarabu.

  • HAMAS: Dunia ikabiliane na uvunjiaji heshima yanayofanyiwa matukufu ya Kiislamu na Kikristo Palestina

    HAMAS: Dunia ikabiliane na uvunjiaji heshima yanayofanyiwa matukufu ya Kiislamu na Kikristo Palestina

    Oct 10, 2019 04:20

    Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imetoa taarifa ya kuitaka Jamii ya Kimataifa ichukue hatua kukabiliana na uvunjaji heshima unaofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya matukufu ya Kiislamu na Kikristo katika ardhi ya Palestina.

  • Hamas: Mbinu zote zinazowezekana zitumike katika kulinda Msikiti wa Al Aqsa

    Hamas: Mbinu zote zinazowezekana zitumike katika kulinda Msikiti wa Al Aqsa

    Oct 04, 2019 08:37

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imetoa wito wa kutumiwa kila mbinu inayowezekana katika kuulinda na kuutetea Msikiti wa Al Aqsa ulio katika mji wa Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel.

  • Walowezi 200 wa Kizayuni wavamia Msikiti Mtakatifu wa al-Aqswa

    Walowezi 200 wa Kizayuni wavamia Msikiti Mtakatifu wa al-Aqswa

    Sep 29, 2019 09:49

    Walowezi wapatao 200 leo wamevamia Msikiti Mtakatifu wa al-Aqswa wakiitikia wito wa makuhani wa utawala ghasibu wa Israel huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.

  • Hamas yakosoa nchi za Kiarabu kwa kuzembea kuhusu kadhia ya Msikiti wa Al Aqsa

    Hamas yakosoa nchi za Kiarabu kwa kuzembea kuhusu kadhia ya Msikiti wa Al Aqsa

    Aug 21, 2019 20:41

    Mjumbe wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) mjini Tehran amezikosoa nchi za Kiarabu kwa kuzembea kuhusu kadhia ya kuukomboa Msikiti wa Al Aqsa ulio katika mji wa Quds (Jerusalem) ambao unakaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel.

  • Kumbukumbu ya mwaka wa 50 tangu kuchomwa moto msikiti wa Al Aqsa; Siku ya Kimataifa ya Misikiti

    Kumbukumbu ya mwaka wa 50 tangu kuchomwa moto msikiti wa Al Aqsa; Siku ya Kimataifa ya Misikiti

    Aug 21, 2019 08:16

    Leo tarehe 21 mwezi Agosti ni maadhimisho ya kutimia mwaka wa 50 tangu kuchomwa moto na Wazayuni msikiti wa al Aqsa; siku ambayo imepewa jina la Siku ya Kimataifa ya Misikiti.

  • HAMAS yatoa mwito kwa Wapalestina wote kusimama pamoja kuuhami msikiti wa Al Aqsa

    HAMAS yatoa mwito kwa Wapalestina wote kusimama pamoja kuuhami msikiti wa Al Aqsa

    Aug 20, 2019 03:34

    Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imetoa mwito kwa Wapalestina wote kusimama na kuungana pamoja kwa ajili ya kuuhami msikiti wa Al Aqsa.

  • Arab League yaonyesha msimamo legevu kuhusiana na jinai ya Wazayuni ya kuuvamia msikiti wa Al Aqsa

    Arab League yaonyesha msimamo legevu kuhusiana na jinai ya Wazayuni ya kuuvamia msikiti wa Al Aqsa

    Aug 12, 2019 10:23

    Jumuiya ya Nchi za Kiarabu imeonyesha msimamo legevu na dhaifu kwa uvamizi uliofanywa na askari wa utawala wa Kizayuni dhidi ya msikiti mtukufu wa Al Aqsa wakati wa Sala ya Idul-Adh'ha.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS