-
OIC yalaani hatua ya Israel ya kuchimba njia ya chini ya ardhi Aqsa
Jul 04, 2019 13:47Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imeukodoa vikali utawala haramu wa Israel kwa kuchimba njia ya chini ya ardhi inayopitia chini ya Msikiti wa al Aqsa mashariki mwa mji mtukufu wa Quds unaokaliwa kwa mabavu na Wazayuni hao.
-
Utawala wa Israel wakereka baada ya rais wa Chile kuutembelea Msikiti wa Al-Aqsa
Jun 27, 2019 08:06Utawala wa Kizayuni wa Israel umekerwa na hatua ya Rais Sebastián Piñera wa Chile akishirikiana na Idara ya Wakfu ya Kiislamu ya Quds na viongozi wa ngazi ya juu wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina, kuzuru Msikiti wa Al-Aqsa, kibla cha kwanza cha Waislamu.
-
Qatar: Kuuvamia Msikiti wa al Aqsa ni kuchochea hisia za Waislamu duniani
Jun 04, 2019 06:27Qatar imelaani jinai ya mamia ya walowezi wa Kizayuni ya kuuvamia Msikiti wa al Aqsa na kuwajeruhi Waislamu kadhaa waliokuwa wanasali msikitini humo kwa kushirikiana na wanajeshi katili wa Israel.
-
Hamas walaani uvamizi wa wanajeshi wa Israel ndani ya Msikiti wa al Aqsa + Video
Jun 02, 2019 10:59Mjumbe mmoja wa ngazi za juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amelaani kitendo cha wanajeshi na walowezi wa Kizayuni cha kuvamia na kuvunjia heshima Msikiti wa al Aqsa na matukufu mengine ya Kiislamu.
-
Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wauhujumu Msikiti wa Al Aqsa wakati wa Sala
May 20, 2019 10:12Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamewashambulia Waislamu Wapalestina waliokuwa wakiswali katika Msikiti wa Al Aqsa mjini Quds (Jerusalem).
-
Waziri aongoza walowezi wa Kizayuni kuuhujumu Msikiti wa al Aqsa mjini Quds
Apr 12, 2019 04:31Waziri mmoja wa utawala wa Kizayuni wa Israel ameliongoza genge la walowezi wa Kizayuni katika kushambulia na kuvunjia heshima Msikiti mtukufu wa al-Aqsa na kibla cha kwanza cha Waislamu wote duniani.
-
Wananchi wa Jordan waandamana kuunga mkono Kibla cha Kwanza cha Waislamu
Mar 16, 2019 07:56Wananchi wa Jordan wamefanya maandamano makubwa ya kuiunga mkono Masjid al Aqswa, Kibla cha Kwanza cha Waislamu kinachokaliwa kwa mabavu na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Matakwa matatu ya Kamisheni ya Masuala ya Palestina ya Bunge la Jordan dhidi ya Israel
Mar 15, 2019 07:21Kamisheni ya Masuala ya Palestina ya Bunge la Jordan imetoa wito wa kufukuzwa balozi wa Israel mjini Amman, kurejeshwa nyumbani balozi wa Jordan huko katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu na kufutwa mkataba wa gesi na Israel.
-
Palestina yapuuza agizo la mahakama ya Israel la kufunga lango la Msikiti wa al-Aqsa
Mar 06, 2019 13:55Mamlaka ya Wakfu wa Kidini ya Palestina imepuuzilia mbali agizo lililotolewa na mahakama ya utawala wa Kizayuni wa Israel la kuitaka ifunge moja ya malango muhimu ya Msikiti Mtukufu wa al-Aqsa.
-
HAMAS: Taifa la Palestina limethibitisha kwamba, Masjidul Aqswa ni mstari mwekundu
Feb 23, 2019 07:32Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imetangaza kuwa, msikiti wa al-Aqswa ni mstari mwekundu wa Umma wa Kiislamu.