-
Wananchi wa Jordan waandamana kuunga mkono Kibla cha Kwanza cha Waislamu
Mar 16, 2019 04:26Wananchi wa Jordan wamefanya maandamano makubwa ya kuiunga mkono Masjid al Aqswa, Kibla cha Kwanza cha Waislamu kinachokaliwa kwa mabavu na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Matakwa matatu ya Kamisheni ya Masuala ya Palestina ya Bunge la Jordan dhidi ya Israel
Mar 15, 2019 03:51Kamisheni ya Masuala ya Palestina ya Bunge la Jordan imetoa wito wa kufukuzwa balozi wa Israel mjini Amman, kurejeshwa nyumbani balozi wa Jordan huko katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu na kufutwa mkataba wa gesi na Israel.
-
Palestina yapuuza agizo la mahakama ya Israel la kufunga lango la Msikiti wa al-Aqsa
Mar 06, 2019 10:25Mamlaka ya Wakfu wa Kidini ya Palestina imepuuzilia mbali agizo lililotolewa na mahakama ya utawala wa Kizayuni wa Israel la kuitaka ifunge moja ya malango muhimu ya Msikiti Mtukufu wa al-Aqsa.
-
HAMAS: Taifa la Palestina limethibitisha kwamba, Masjidul Aqswa ni mstari mwekundu
Feb 23, 2019 04:02Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imetangaza kuwa, msikiti wa al-Aqswa ni mstari mwekundu wa Umma wa Kiislamu.
-
Iran yalaani shambulizi la Wazayuni dhidi ya Msikiti wa al Aqsa
Feb 22, 2019 11:06Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani vikali hujuma iliyofanywa na Wazayuni wa Israel dhidi ya Msikiti wa al Aqsa na maeneo mengine ya kihistoria na Kiislamu huko Baitul Muqaddas.
-
Adnan al-Husayni aonya kuhusu njama za kuugawa Msikiti wa al-Aqswa
Feb 20, 2019 23:23Waziri wa Masuala ya Quds huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu ametahadharisha kuhusiana na njama za kutaka kuugawa Msikiti Mtakatifu wa al-Aqswa.
-
Wazayuni waanzisha vita vya kudumu vya kukiteka Kibla cha Kwanza cha Waislamu
Feb 19, 2019 23:23Mkuu wa Baraza la Taifa la Palestina ameashiria hatua za hivi karibuni za Wazayuni katika Msikiti wa al Aqsa ambao ni Kibla cha Kwanza cha Waislamu na kusema kuwa, utawala wa Kizayuni umeanzisha vita vya kudumu kwa shabaha ya kuugawa msikiti huo baina ya Waislamu na Wazayuni kwa mujibu wa wakati na eneo.
-
Makumi ya Walowezi wa Kizayuni wavamia Msikiti Mtakatifu wa al-Aqswa
Feb 08, 2019 11:22Makumi ya walowezi wa Kizayuni leo wameuvamia tena Msikiti wa al-Aqswa huko Palestina wakisaidiwa na askari wa jeshi la utawala haramu wa Israel na kuuvunjia heshima msikiti huo mtakatifu na kibla cha kwanza cha Waislamu.
-
Onyo la Wapalestina kwa Israel kuhusiana na kuuvunjia heshima msikiti wa al-Aqswa
Jan 16, 2019 00:57Hujuma na uvamizi wa Wazayuni dhidi ya maeneo matakatifu ya Kiislamu umeshika kasi katika miezi ya hivi karibuni kwa baraka za viongozi wa utawala ghasibu wa Israel.
-
Walowezi wa Kizayuni wavamia tena Msikiti Mtakatifu wa al-Aqswa
Jan 11, 2019 00:43Makumi ya walowezi wa Kizayuni wamevamia tena Msikiti wa al-Aqswa wakisaidiwa na askari wa jeshi la utawala haramu wa Israel na kufanya vitendo vya kuuvunjia heshima msikiti huo mtakatifu na kibla cha kwanza cha Waislamu.