-
Wazayuni waendelea kuchimba mashimo kusini mwa Msikiti wa Al-Aqswa
Dec 15, 2018 23:14Wazayuni wamekithirisha njama zao dhidi ya msikiti wa al-Aqswa kwa kuendelea kuchimba mashimo na njia za chini kwa chini kuelekea msikiti huo mtakatifu.
-
Mamlaka ya Ndani ya Palestina yatoa indhari ya kuvamiwa maeneo ya kandokando ya Msikiti wa Al-Aqsa
Nov 22, 2018 04:52Wizara ya Mambo ya Nje ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina imetahadharisha kuhusu njama inayofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel ya kuyavamia na kuyakalia kikamilifu maeneo ya kandokando ya msikiti wa Al-Aqsa.
-
Makumi ya walowezi wa Kizayuni wavamia Msikiti wa al-Aqswa
Oct 31, 2018 04:46Makumi ya walowezi wa Kizayuni wamevamia Msikiti wa al-Aqswa wakiwa wanasaidiwa na askari wa jeshi la utawala haramu wa Israel na kufanya vitendo vya kuuvunjia heshima msikiti huo mtakatifu.
-
Kuugawanya kimatumizi Msikiti mtukufu wa Al-Aqsa kwa mahali na wakati kwa lengo la kuuyahudisha
Oct 25, 2018 04:47Wazayuni wenye misimamo ya kufurutu mpaka wanaounga mkono njama za kuubomoa msikiti mtukufu wa Al-Asqa na kujenga mahali pake hekalu bandia la Kiyahudi wamependekeza mpango hatari na wa ubaguzi wa kimbari kwa madhumuni ya kupagawanya mahali hapo patakatifu.
-
'Israel inahaha mbele ya uwezo mkubwa wa kijeshi wa Hizbullah ya Lebanon'
Oct 19, 2018 21:39Mjumbe wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Kidemokrasia kwa ajili ya Ukombozi wa Palestina amesema kuwa, utawala haramu wa Kizayuni unahaha hivi sasa kutokana na uwezo mkubwa wa kijeshi wa Hizbullah ya Lebanon na hauthubutu kuanzisha vita vingine.
-
Hamas yaionya Israel isiendelee kukivunjia heshima Kibla cha Kwanza cha Waislamu
Sep 13, 2018 23:03Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imeuonya utawala wa Kizayuni wa Israel juu ya hatari ya kuendelea kuuvinjia heshima Msikiti wa al Aqsa ambao ni Kibla cha Kwanza cha Waislamu na kusisitiza kuwa utawala huo dhalimu ndio utakaobeba dhima ya lolote litakalotokea.
-
Makumi ya walowezi wa Kizayuni wavamia Msikiti wa al-Aqswa
Aug 27, 2018 10:23Makumi ya walowezi wa Kizayuni leo wamevamia Msikiti wa al-Aqswa wakiwa wanasaidiwa na askari wa jeshi la utawala haramu wa Israel na kufanya vitendo vya kuuvunjia heshima msikiti huo mtakatifu.
-
Idara ya Waqfu ya Baitul Muqaddas: Msikiti wa Al-Aqsa ni sehemu ya itikadi ya kila Muislamu
Aug 26, 2018 10:23Idara ya Waqfu ya Quds na masuala ya msikiti wa Al-Aqsa imesisitiza kuwa msikiti huo mtukufu ni sehemu ya asili ya itikadi ya kila Muislamu na kwa hivyo hauwezi kugawanywa wala kuwashirikisha watu wengine.
-
OIC yasisitiza kuhifadhiwa hali ya kihistoria ya Masjidul al-Aqswa
Aug 21, 2018 23:11Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imesisitiza juu ya udharura wa kulindwa na kuhifadhiwa hali ya kihistoria ya Msikiti wa al-Aqswa licha ya kuendelea hujuma, uvamizi na jinai za utawala ghasibu wa Israel dhidi ya msikiti huo mtakatifu.
-
Hamas: Mapambano na Israel yataendelea hadi Palestina ikombolewe kikamilifu
Aug 20, 2018 09:40Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, imetangaza kuwa, falsafa ya mapambano na utawala wa Kizayuni wa Israel imejengeka katika msingi wa kufikia lengo la ukombozi wa ardhi za Palestina na kuwatimua Wazayuni maghasibu kutoka ardhi takatifu za Kiislamu na Kikristo hasa mji wa Quds na Msikiti wa Al Aqsa.