-
Mawe ya ukuta wa msikiti wa al-Aqswa yaporomoka kutokana na mashimo ya Wazayuni
Jul 24, 2018 03:32Mashimo yanayoendelea kuchimbwa na utawala wa Kizayuni katika eneo la magharibi mwa ukuta wa msikiti wa al-Aqsa, yamepelekea kuporomoka kwa mawe ya ukuta huo.
-
Walowezi 1000 wa Kizayuni wakishambulia tena kibla cha kwanza cha Waislamu
Jul 22, 2018 09:27Kwa mara nyingine tena walowezi zaidi ya 1000 wa Kizayuni wameuhujumu Msikiti wa al Aqsa ulioko katika mji mtakatifu wa Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu na utawala ghasibu wa Israel.
-
Mufti wa Quds atahadharisdha kuhusu hali mbaya ya Msikiti wa Quds
Jul 19, 2018 12:29Mufti wa Msikiti mtakatifu wa Quds huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu ametahadharisha kuhusu hali mbaya ya msikiti huo ambacho ndicho kibla cha kwanza cha Waislamu kote duniani.
-
Wimbi jipya la hujuma za Wazayuni dhidi ya msikiti wa al-Aqswa
Jun 26, 2018 21:42Duru za habari zimeripoti kuhusu kushadidi hujuma za Wazayuni dhidi ya msikiti wa al-Aqswa katika siku za hivi karibuni sambamba na harakati za Marekani za kutaka kutekeleza mpango wake wenye njama kubwa unaojuliakana kama "Muamala wa Karne".
-
Maelefu ya Wapalestina washiriki Sala ya Ijumaa katika Msikiti wa Al Aqsa mjini Quds
Jun 08, 2018 09:23Maelfu ya Wapalestina wameshiriki katika Sala ya Ijumaa ya mwisho ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani katika Msikiti wa Al Aqsa ulio katika mji wa Quds unaokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel.
-
Kukaribia Siku ya Kimataifa ya Quds; kuunga mkono taifa madhulumu la Palestina na majukumu ya Kimataifa
May 31, 2018 00:48"Ulimwengu wa Kiislamu leo unapaswa kuwa na nafasi ya kimsingi katika masuala muhimu na usiruhusu uzoefu mchungu wa miongo iliyopita na kuenea satwa ya madola makubwa na athari zake za muda mrefu kukaririwa."
-
Kukivunja kabisa Kibla cha Kwanza cha Waislamu; hatua ya baadaye ya Trump
May 24, 2018 22:47Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesisitiza kuwa, vitendo vya balozi wa Marekani vinaonesha jinsi nchi yake inavyoshirikiana na utawala wa Kizayuni wa Israel katika kuyavunjia heshima matukufu ya taifa la Palestina na ya umma mzima wa Kiarabu na wa Kiislamu.
-
HAMAS: Kuvamiwa msikiti wa Al Aqsa na walowezi wa Kizayuni kumefanywa kwa uungaji mkono wa Marekani
May 13, 2018 22:36Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imesema, uvamizi uliofanywa walowezi wa Kizayuni katika msikiti wa Al Aqsa hapo jana ni namna fulani ya utoaji vitisho unaofanywa na utawala wa Kizayuni kwa uungaji mkono wa Marekani.
-
Walowezi wa Kizayuni wauhujumu na kuuvunjia heshima Msikiti wa Al Aqsa
Apr 02, 2018 03:12Mamia ya walowezi wa Kizayuni, wakiwa wanalindwa na askari wa utawala haramu wa Israel, wameuhujumu na kuuvunjia heshima Msikiti wa Al Aqsa kwa kupitia lango la al-Maghareba.
-
Sheikh wa al-Aqsa aonya kuhusu huhamishiwa Quds ubalozi wa US
Feb 28, 2018 04:28Mhubiri mtajika wa Msikiti wa al-Aqsa, Sheikh Ikrima Sabri ametahadharisha kuhusu azma ya Marekani ya kuuhamishia ubalozi wake mjini Quds Tukufu kutoka Tel Aviv na kuitaja hatua hiyo kama ya kichokozi na kichochezi.