-
Askari watoto wakombolewa na wanajeshi wa Msumbiji
Oct 06, 2021 12:45Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) umesema vikosi vya serikali ya Msumbiji vimefanikiwa kuwakomboa watoto waliosajiliwa kwa nguvu na kutumiwa vitani na genge la kigaidi la al-Shabaab kaskazini mwa nchi hiyo ya kusini mwa Afrika.
-
Rais wa Msumbiji ataka magaidi wajisalimishe baada ya kinara wao kuuawa
Oct 05, 2021 08:10Rais Filipe Nyusi wa Msumbiji ametoa mwito kwa magenge ya kigaidi kusalimu amri baada ya kinara wao kuuawa hivi karibuni kaskazini mwa nchi.
-
Magaidi 19, akiwemo kamanda wa ngazi ya juu, wauawa Msumbiji
Oct 03, 2021 12:45Magaidi 19, akiwemo kamanda wa ngazi ya juu wa genge moja la kigaidi, wameuawa katika operesheni ya kiusalama iliyofanywa na wananjeshi wa kieneo huko kaskazini mwa Msumbiji.
-
Umoja wa Ulaya kutoa mafunzo kwa jeshi Msumbiji ili kupambana na Daesh
Jul 13, 2021 10:06Umoja wa Ulaya umeanzisha rasmi kampeni ya kijeshi ya kutoa mafunzo kwa vikosi vya ulinzi vya Msumbiji vinavyopambana na wanamgambo wenye mfungamano na kundi la kigaidi la Daesh huko katika mkoa wa kaskazini wa Cabo Delgado.
-
SADC yaafiki mpango wa kutuma wanajeshi nchini Msumbiji
Jun 24, 2021 07:24Nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika SADC zimeafikiana juu ya mpango wa kutuma wanajeshi nchini Msumbiji kuisaidia Maputo kupambana na magenge ya magaidi na waasi huko kaskazini mwa nchi hiyo.
-
Magaidi wanawateka nyara watoto nchini Msumbiji
Jun 10, 2021 02:32Mwakilishi wa Taasisi ya Kulinda Watoto nchini Msumbiji imeripoti kuwa, magaidi nchini humo wanawateka nyara watoto.
-
UN yaiomba Tanzania iwape hifadhi raia wa Msumbiji wa Cabo Delgado wanaokimbia mapigano
May 19, 2021 06:28Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UBHCR limesema lina wasiwasi mkubwa na taarifa zinazoendelea za watu wanaokimbia jimboni Cabo Delgado nchini Msumbiji kurudishwa kwa nguvu baada ya kuvuka mpaka kuelekea nchi jirani ya Tanzania.
-
Amnesty International: Wazungu na mbwa waliokolewa kabla ya watu weusi huko Palma, Msumbiji
May 14, 2021 11:47Kundi la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limesema katika ripoti yake kwamba, wakandarasi wazungu walisafirishwa kwa ndege na kupelekwa maeneo yenye usalama kabla ya wenzao weusi baada ya shambulio la magaidi mwezi Machi mwaka huu katika mji Palma nchini Msumbiji.
-
Viongozi wa Msumbiji waeleza wasiwasi wao kuhusiana na harakati za kundi la Daesh nchini humo
Apr 12, 2021 02:51Katika miaka ya hivi karibuni makundi ya kigaidi yameimarisha harakati zao katika nchi mbalimbali za Kiafrika. Genge la Daesh ni miongoni wa makundi hayo ya kigaidi ambayo yamezidisha mashambulizi na harakati zao katika nchi za Afrika.
-
Jeshi la Msumbiji laua magaidi 36 katika mji wa Palma
Apr 10, 2021 12:32Msemaji wa jeshi la Msumbiji amesema askari wa nchi hiyo wamewaangamizi makumi ya wanamgambo katika operesheni ya usalama katika mji wa pwani wa Palma, kaskazini mwa nchi.