-
Waislamu wahimizwa kusherehekea kwa amani na mapenzi Maulidi ya Mtume + Sauti
Nov 16, 2018 06:50Mkurugenzi wa Kitengo cha Utamaduni cha Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Tanzania Bw. Ali Bagheri amesema kuwa, maadhimisho ya Maulidi na kuzaliwa Mtume Muhammad SAW kunaleta mapenzi kwa Waislamu wote, hivyo waitumie fursa hiyo kuimarisha udugu wao. Amari Dachi na maelezo zaidi kutoka Dar es Salaam
-
Mahakama ya Haki za Binadamu ya Ulaya: Kumvunjia heshima Mtume wa Uislamu si uhuru wa kujieleza
Oct 26, 2018 04:49Mahakama ya Haki za Binadamu ya Ulaya imehukumu kwamba, kumvunjia heshima Mtume Muhammad (saw) si sehemu ya uhuru wa kujieleza.
-
Marekani inachochea chuki dhidi ya Uislamu
May 05, 2016 08:36Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema Marekani inachochea chuki dhidi ya Uislamu, Iran na Ushia.