Waislamu wahimizwa kusherehekea kwa amani na mapenzi Maulidi ya Mtume + Sauti
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i49544-waislamu_wahimizwa_kusherehekea_kwa_amani_na_mapenzi_maulidi_ya_mtume_sauti
Mkurugenzi wa Kitengo cha Utamaduni cha Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Tanzania Bw. Ali Bagheri amesema kuwa, maadhimisho ya Maulidi na kuzaliwa Mtume Muhammad SAW kunaleta mapenzi kwa Waislamu wote, hivyo waitumie fursa hiyo kuimarisha udugu wao. Amari Dachi na maelezo zaidi kutoka Dar es Salaam
(last modified 2023-11-27T12:14:11+00:00 )
Nov 16, 2018 06:50 UTC