-
Mkono wa pole kwa mnasaba wa kuaga dunia Bibi Khadija, mke mtukufu wa Mtume (saw)
Apr 01, 2023 04:53Tarehe 10 ya mwezi Mtukufu wa Ramadhani Hijiria Qamaria, ambayo inasadifiana na tarehe Mosi Aprili 2023 ni siku ya kukumbuka kuaga dunia Bibi Khadija (sa) , mke mtukufu wa Mtume Muhammad (saw).
-
Putin akosoa hujuma dhidi ya Uislamu katika nchi za Magharibi
Dec 24, 2021 15:55Rais wa Russia amekosoa hatua za kuhujumu na kupiga ita Uislamu na matukufu ya din hiyo katika nchi za Magharibi.
-
Waislamu wahimizwa kusherehekea kwa amani na mapenzi Maulidi ya Mtume + Sauti
Nov 16, 2018 06:50Mkurugenzi wa Kitengo cha Utamaduni cha Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Tanzania Bw. Ali Bagheri amesema kuwa, maadhimisho ya Maulidi na kuzaliwa Mtume Muhammad SAW kunaleta mapenzi kwa Waislamu wote, hivyo waitumie fursa hiyo kuimarisha udugu wao. Amari Dachi na maelezo zaidi kutoka Dar es Salaam