-
Dira ya 2050 kuigeuza Tanzania nchi ya Uchumi wa $Trilioni 1
Jul 17, 2025 14:52Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Julai 17 imezindua rasmi Dira ya Taifa ya 2050 katika hafla maalumu iliyohudhuriwa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan.
-
Nembo ya ‘Made in Tanzania' yazinduliwa katika Maonesho ya Sabasaba 2025
Jul 08, 2025 12:39Tanzania imezindua rasmi nembo ya ‘Made in Tanzania’ kwa lengo la kutangaza bidhaa zinazotengenezwa nyumbani kimataifa na kuitangaza Tanzania kama nchi ambayo inatengeneza bidhaa zenye ubora wa hali ya juu, ubunifu na hasa zenye asili ya Kiafrika.
-
Tanzania: Jamii ya kimataifa idhibiti vyanzo vya migogoro duniani
Jun 04, 2025 06:00Tanzania imeiasa jamii ya kimataifa kuweka mikakati madhubuti ikiwemo kuwashirikisha wanawake katika masuala ya amani na usalama, ili kudhibiti migogoro ambayo vyanzo vyake vikuu ni ukabila, ubaguzi wa rangi, itikadi kali na migogoro kuhusu maliasili na mipaka.
-
Kesi ya kinara wa upinzani Tanzania yaendelea kusikilizwa leo
Apr 28, 2025 08:04Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam Tanzania, hii leo inaendelea kusikiliza kesi ya kusambaza taarifa za uongo katika mtandao wa Youtube inayomkabili Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani nchini humo Chadema, Tundu Lissu.
-
CHADEMA yataka Lissu aruhusiwe kuonana na mawakili, jamaa zake
Apr 19, 2025 06:30Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania, CHADEMA kimevitaka vyombo vya dola vimruhusu Mwenyekiti Taifa wa chama hicho, Tundu Lissu kuonana na mawakili na jamaa zake.
-
Asasi za kiraia, wapinzani Tanzania walaani kukamatwa Tundu Lissu
Apr 11, 2025 12:32Mashirika ya kiraia, vyama vya upinzani na asasi za kutetea haki za binadamu nchini Tanzania zimekosoa vikali hatua ya kukamatwa na kushtakiwa Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani nchini humo CHADEMA.
-
Tanzania yatangaza kumalizika mlipuko wa Marburg
Mar 14, 2025 02:29Tanzania jana Alkhamisi ilitangaza mwisho wa mlipuko wa virusi vya Marburg, kwani hakuna kesi yoyote mpya iliyoripotiwa nchini humo katika kipindi cha siku 42.
-
Shura ya Maimamu Tanzania yakaribisha kuachiwa huru Masheikh 12
Mar 05, 2025 13:42Shura ya Maimamu Tanzania imepokea kwa mikono miwili uamuzi wa mahakama wa kuwaachia huru Masheikh 12 waliokaa gerezani miaka 10, (2015-2025), kwa tuhuma za ugaidi. Uamuzi huo umetolewa na Jaji wa Mahakama Kuu Mheshimiwa Arnold John Kirekiano.
-
Mufti wa Tanzania apongeza uamuzi wa Iran wa kuanzisha Akademia ya Qur'ani Dar Es Salaam
Dec 06, 2024 03:19Sheikh Mkuu na Mufti wa Tanzania ameipongeza Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa uamuzi wake wa kuanzisha Akademia ya Qur'ani ya Dar al-Nur na kuahidi kutoa ushirikiano unaohitajika katika uwanja huo.
-
Siku ya Utamaduni wa Washirazi yaadhimishwa nchini Tanzania
Nov 19, 2024 11:12Balozi wa Iran nchini Tanzania ameshiriki katika Siku ya Utamaduni wa Washirazi iliyofanyika jijini Dar es Salaam ili kuzidi kutia nguvu uhusiano wa kiudugu ulipo baina ya Iran na Tanzania.