-
Spika wa Bunge la Iran awapongeza maspika wa nchi za Kiislamu kwa mnasaba wa Maulidi ya Mtume (saw)
Oct 24, 2021 08:15Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amewatumia ujumbe maspika wenzake katika nchi za Kiislamu akiwapa mkono wa kheri na baraka kwa mnasaba wa maadhimisho na sherehe za Maulidi ya Mtume Muhammad (saw).
-
Iran yaadhimisha siku ya kuzaliwa Mtume wa Mwisho wa Mwenyezi Mungu, Muhammad (saw)
Oct 24, 2021 03:26Leo tarehe 17 Mfunguo Sita Rabiu Awwal 1443 Hijria inasadifiana na siku aliyozaliwa Mtume wa Mwisho wa Mwenyezi Mungu, Muhammad bin Abdullah (saw) na mjukuu wake mwema, Imam Ja'far al Swadiq (as).
-
Maomblezo ya kuaga dunia Mtume (saw) na kuuawa shahidi Imam Hassan (as)
Oct 16, 2020 07:22Taifa zima la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limezama katika maombolezo ya kumbukumbu ya kuaga dunia Mtume Mtukufu wa Uislamu (saw) pamoja na kuuawa shahidi Imam Hassan Mujtaba (as), Imam wa pili wa Waislamu wa madhehebu ya Shia.
-
India yapiga marufuku sherehe za maulidi ya Mtume (saw) katika eneo la Kashhmir
Nov 11, 2019 15:35Serikali ya India imepiga marufuku sherehe zote za mazazi ya Mtume Muhammad (saw) pamoja na maadhimisho ya Wiki ya Umoja katika eneo la Kashmir lililo chini ya udhibiti wa serikali ya New Delhi.
-
Waislamu wahimizwa kusherehekea kwa amani na mapenzi Maulidi ya Mtume + Sauti
Nov 16, 2018 06:50Mkurugenzi wa Kitengo cha Utamaduni cha Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Tanzania Bw. Ali Bagheri amesema kuwa, maadhimisho ya Maulidi na kuzaliwa Mtume Muhammad SAW kunaleta mapenzi kwa Waislamu wote, hivyo waitumie fursa hiyo kuimarisha udugu wao. Amari Dachi na maelezo zaidi kutoka Dar es Salaam