-
Serikali ya Misri: Watakaopinga mpango wa Muamala wa Karne watakiona
Feb 15, 2020 00:44Serikali ya Misri imetoa onyo kali kwa shakhsia na wanadiplomasia wa nchi hiyo wanaoukosoa mpango wa Muamala wa Karne na kueleza kwamba, watakaoupinga mpango huo watakaiona.
-
EU yatahadharisha kuhusu kuunganishwa Bonde la Jordan na maeneo yanayokaliwa kwa mabavu na Israel
Feb 12, 2020 05:53Mkuu wa Siasa za Nje wa Umoja wa Ulaya amekosoa mpango wa Marekani wa Muamala wa Karne na kutahadharisha kuhusu taathira za kuunganishwa eneo la Bonde la Jordan na maeneo yanayokaliwa kwa mabavu na utawala wa Kizayuni wa Israel na uwezekano wa kushtadi machafuko.
-
Rais Abbas kwa Baraza la Usalama: Muamala wa Karne unakiuka maazimio ya UN
Feb 12, 2020 04:10Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina ameliambia Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuwa, mbali na mpango wa Rais Donald Trump wa Marekani uliopewa jina la Muamala wa Karne kukanyaga maazimio ya umoja huo, pia unakiuka mamlaka na uhuru wa kujitawala Palestina.
-
Kupingwa mpango wa Muamala wa Karne na viongozi wa Afrika
Feb 11, 2020 23:26Tangu mpango wa Marekanii uliopewa jina la Muamala wa Karne ulipozinduliwa na Rais Donald Trump wa Marekani, mataifa na asasi mbalimbali za kieneo na kimataifa zimetangaza wazi kuupinga na kuukataa mpango huo na kuutaja kama mpango wa kidhalimu.
-
Ramaphosa: Mapendekezo ya Muamala wa Karne yanafanana na ya 'apartheid'
Feb 10, 2020 09:11Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini amesema mapendekezo ya Rais Donald Trump kwenye 'Muamala wa Karne' yanashabihiana na mfumo wa kipindi cha utawala wa ubaguzi wa rangi (apartheid) katika nchi hiyo ya kusini mwa Afrika.
-
Msemaji wa Hamas: Mumala wa Karne utafeli na kugonga mwamba
Feb 10, 2020 04:50Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amesema kuwa, mipango ya Marekani na utawala ghasibu wa Israel na ushirikiano wao mkubwa wa kutekeleza mpango wa Muamala wa Karne na kuchora ramani mpya ya kuliunganisha eneo la Ukingo wa Magharibi na ardhi zinazokaliwa kwa mabavu, utafeli na kushindwa.
-
Umoja wa Afrika wapinga Muamala wa Karne uliobuniwa na Marekani
Feb 09, 2020 23:38Mkuu wa Kamisheni ya Afrika amesema kuwa, mpango wa Muamala wa Karne uko dhidi ya Wapalestina na unakinzana na sheria za kimataifa.
-
Borrell autaka Umoja wa Ulaya kudhamini haki za Iran kwa mujibu wa mkataba wa JCPOA
Feb 08, 2020 23:12Mkuu wa Siasa za Nje wa Umoja wa Ulaya amesema uhai wa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA unafungamana na suala la Iran kudhaminiwa mafao yake katika mkataba huo.
-
Wajumbe zaidi ya 100 wa Baraza la Wawakilishi Marekani waukataa mpango wa 'Muamala wa Karne'
Feb 08, 2020 09:27Wajumbe 107 wa chama cha Democrat katika Baraza la Wawakilishi la Marekani wamemwandikia barua rais wa nchi hiyo Donald Trump wakiupinga vikali mpango wake alioupa jina la "Muamala wa Karne".
-
Rais Mahmoud Abbas: Hatutaruhusu mpango mchafu wa Muamala wa Karne utekelezwe
Feb 06, 2020 08:45Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina kwa mara nyingine tena ametoa radiamali yake kuhusiana na kuzinduliwa mpango mbaya wa Muamala wa karne na kusisitiza kwamba, taifa la Palestina katu halitaruhusu mpangop huo uliojaa njama utekelezwe.