Jul 27, 2022 08:04
Sambamba na kukaribia mwezi wa Muharram, maulamaa na mashekhe wa madhehebu za Suni na Shia wamefanya mkutano wa pamoja katika kituo cha Kiislamu mjini Moscow Russia wakisisitiza juu ya kuwepo umoja baina ya Waislamu na kujiepusha na mifarakano.