-
Gambia: Wanajeshi wa Myanmar wailinde jamii ya kabila la waliochache la Rohingya
Feb 04, 2021 07:57Gambia imebainisha wasiwasi wake kuhusu hatima ya Waislamu wa kabila la Rohingya wa Myanmar baada ya kujiri mapinduzi nchini humo.
-
Kuundwa serikali ya kijeshi nchini Myanmar baada ya mapinduzi ya kijeshi
Feb 03, 2021 02:27Baada ya jeshi la Myanmar kufanya mapinduzi na kutwaa madaraka ya nchi, limetoa orodha ya majina ya watu 1 iliyowataja kuwa ndio watakaoongoza Baraza la Mawaziri la nchi hiyo.
-
Jeshi la Myanmar latwaa madaraka ya nchi; rais na viongozi wengine watiwa mbaroni
Feb 01, 2021 09:39Jeshi la Myanmar limethibitisha kulidhibiti madaraka ya nchi baada ya kumkamata Rais wa nchi na viongozi wengine akiwemo Aung San Suu Kyi mapema hii leo.
-
UN yaonya kuhusu uhalifu zaidi wa kivita dhidi ya Waislamu nchini Myanmar
Sep 15, 2020 12:48Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa ametoa wito wa kuchukuliwa hatua zaidi kutokana na ukiukaji wa haki za binadamu unaofanyika nchini Myanmar dhidi ya jamii ya Waislamu wa Rohingya.
-
Suu Kyi apokonywa tuzo nyingine ya kifakhari, mara hii na Bunge la EU
Sep 11, 2020 04:44Bunge la Umoja wa Ulaya limefuta jina la Aung San Suu Kyi, kiongozi wa chama tawala nchini Myanmar ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo katika orodha ya tuzo ya kifakhari ya taasisi hiyo ya kutunga sheria ya Ulaya.
-
Waislamu Warohingya wakumbuka kuporwa maeneo yao
Aug 26, 2020 02:57Waislamu Warohingya ambao ni wakimbizi nchini Bangladesh jana walishiriki katika 'maandamano ya kimya kimya' ya kukumbuka mwaka wa tatu tokea walipoporwa ardhi na maeneo yao na kufukuzwa makwao nchini Myanmar.
-
"Mashambulizi ya anga ya Myanmar yaliyoua watoto ni jinai za kivita"
Jul 08, 2020 08:10Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limesema mashambulizi ya anga yaliyofanywa hivi karibuni na jeshi la Myanmar katika mkoa wa Rakhine na kuua idadi kubwa ya raia wakiwemo watoto wadogo ni jinai za kivita.
-
Watu zaidi ya 162 waaga dunia katika maporomoko ya mgodi wa madini ya jade, Myanmar
Jul 03, 2020 10:38Watu wasiopungua 162 wameaga dunia katika maporomoko ya udongo yaliyotokea katika mgodi wa kito cha jade kaskazini mwa Myanmar.
-
Jeshi la Myanmar lajitayarisha kuwashambulia Waislamu katika jimbo la Rakhine
Jun 29, 2020 06:59Jeshi la Myanmar linajitayarisha kutekeleza oparesheni mpya dhidi ya Waislamu wa jamii ya Rohingya katika jimbo la Rakhine magharibi mwa nchi hiyo jambo ambalo limepelekea maelfu ya Waislamu kuanza kuhama eneo hilo.
-
Jeshi la Myanmar laanzisha hujuma na mashambulio mapya dhidi ya Waislamu Warohingya
Jun 28, 2020 16:03Harakati za jeshi la Myanmar zilizofanywa kwa lengo la kuanzisha operesheni mpya ya uvamizi na hujuma katika jimbo la Rakhine, ambalo wakaazi wake ni Waislamu, zimesababisha maelfu ya wakazi wa eneo hilo kulazimika kuyahama makazi yao na kuwa wakimbizi.