-
Picha za satalaiti zaonyesha nyumba za Waislamu wa Mynamar zikichomwa moto
May 27, 2020 03:50Shirika la kutetea haki za binadmau la Human Rights Watch (HRW) limetoa mwito wa kufanyika uchunguzi baada ya picha za satalaiti kuonyesha nyumba za Waislamu katika mkoa wa Rakhine nchini Mynamar zikiteketea kwa moto.
-
Waislamu Warohingya waliotangatanga baharini kwa miezi kadhaa wapelekwa kisiwa kisichokalika cha Bangladesh
May 04, 2020 14:17Waislamu Warohingya kadhaa waliokuwa wakitanga tanga baharini kwa miezi kadhaa hatimaye wamepelekwa kwenye kisiwa kimoja cha mbali katika Ghuba ya Bengal.
-
UN: Jeshi la Myanmar linaendelea kuwafanyia jinai Waislamu Warohingya
Apr 30, 2020 08:01Ripota Maalumu wa Umoja wa Mataifa kuhusu hali ya haki za binadamu nchini Myanmar amelituhumu jeshi la nchi hiyo kuwa lingali linawatendea jinai za kivita na zilizo dhidi ya binadamu Waislamu wa jamii ya Rohingya katika majimbo mawili ya nchi.
-
Makumi ya Waislamu wa Rohingya wafa kwa njaa ndani ya boti
Apr 17, 2020 04:25Makumi ya Waislamu wa jamii ya Rohingya wamepoteza maisha kutokana na njaa baada ya boti yao kukwama baharini kwa majuma kadhaa.
-
Warohingya 16 wapoteza maisha katika ajali ya boti Bangladesh
Feb 11, 2020 12:02Kwa akali Waislamu 16 wa jamii ya Rohingya wamefariki dunia baada ya boti yao kuzama katika Pwani ya Bengal, kaskazini mwa Bangladesh.
-
ICJ: Myanmar imewasababishia Waislamu wa Rihongya maumivu yasiyofidika
Jan 24, 2020 02:53Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu (ICJ) imeitaka serikali ya Myanmar kuchukua hatua za dharura za kuzuia mauaji ya kimbari ya Waislamu wa Rohingya, ikisisitiza kuwa Warohingya hao wamesababishiwa machungu na maumivu yasiyoweza kufutika au kurekebishika.
-
Myanmar yawapandisha kizimbani makumi ya watoto Warohingya
Dec 21, 2019 02:43Watoto 23 ni miongoni mwa Waislamu wa Rohingya 93 waliofikishwa mahakamani jana Ijumaa nchini Myanmar, wakikabiliwa na mashitaka ya 'kusafiri bila vibali.'
-
HRW: Bangladesh inawanyima elimu watoto laki 4 wa Kirohingya
Dec 04, 2019 07:08Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limesema serikali ya Bangladesh imewanyima haki ya kupata elimu watoto laki nne Waislamu Warohingya wanaoishi kama wakimbizi nchini humo.
-
Gambia yafungua faili la mauaji ya Warohingya katika mahakama ya ICJ
Nov 11, 2019 11:35Gambia imewasilisha faili la kesi ya mauaji ya kimbari yaliyofanywa na serikali ya Myanmar dhidi ya Waislamu wa jamii ya Warohingya katika Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu (ICJ).
-
UN yataka kufunguliwa kesi ya jinai zinazofanywa dhidi ya Waislamu Myanmar
Oct 25, 2019 02:51Maafisa wawili wa Umoja wa Mataifa wametoa wito wa kufunguliwa kesi katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) ili kushughulikia jinai zinazofanywa na jeshi la Myanmar dhidi ya Waislamu wa jamii ya Rohingya katika jimbo la Rakhine nchini humo.