-
Lavrov: NATO na Umoja wa Ulaya zinapigana vita dhidi ya Russia Ukraine
Sep 27, 2025 02:15Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia Sergey Lavrov amesema, mgogoro wa Ukraine ulipangwa na nchi za Magharibi kwa sura ya vita dhidi ya Russia vinavyopiganwa na Kiev.
-
Kamanda wa Iran: Israel haina ubavu wa kuanzisha vita bila ya msaada wa Marekani na NATO
Sep 25, 2025 03:40Kamanda mwandamizi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, utawala wa kizayuni wa Israel hauna uwezo wa kupigana bila ya kusaidiwa na shirika la kijeshi la NATO na Marekani, jambo linalodhihirisha kuwa makabiliano yanayoweza kutokea ni ya mpambano dhidi ya "ubeberu wa kimataifa."
-
Putin: Wanajeshi wa NATO nchini Ukraine watakuwa 'shabaha halali' ya Russia
Sep 05, 2025 11:03Rais Vladimir Putin wa Russia amepinga mapendekezo ya 'dhamana ya usalama ya nchi za Magharibi kwa Ukraine' akionya kwamba, wanajeshi wowote wa kigeni watakaotumwa katika nchi hiyo jirani watakuwa "shabaha halali" ya jeshi la Russia.
-
Rais Gustavo Petro: Colombia lazima ivunje uhusiano wake na NATO
Jul 17, 2025 14:02Rais Gustavo Petro wa Colombia amesema nchi yake inapaswa kukata uhusiano wake na NATO kwa kuwa viongozi wa shirika hilo la kijeshi la Magharibi wanaunga mkono "mauaji ya halaiki" ya Wapalestina.
-
Jibu la swali la leo; Kwa nini Ujerumani inataka kuongeza kwa kiasi kikubwa gharama zake za kijeshi?
Jul 11, 2025 08:18Katika hotuba yake kwa bunge la nchi hiyo Bundestag, Kansela wa Ujerumani, Friedrich Merz, sambamba na kuunga mkono ongezeko kubwa la gharama na matumizi ya kijeshi, alisisitiza kuwa anataka kuligeuza jeshi la nchi yake kuwa taasisi ya kupigiwa mfano na inayoongoza katika Shirika la Kijeshi la Nchi za Magharibi (NATO).
-
Kwa nini Marekani inafuatilia suala la kuongeza bajeti za kijeshi za wanachama wa NATO?
May 22, 2025 06:47Marco Rubio, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani amesema kufikia mkutano wa kilele wa NATO mwezi Juni mwaka huu, nchi zote wanachama wa muungano huo wa kijeshi zitakuwa zimekubaliana kutenga asilimia 5 ya pato lao la ndani kwa ajili ya ulinzi katika kipindi cha muongo mmoja ujao.
-
NATO inayoongozwa na Marekani yakumbwa na sakata la ufisadi
May 16, 2025 06:48Imefichuka kuwa, nchi nyingi duniani zimeanzisha uchunguzi wa rushwa katika mfumo wa ununuzi wa Shirika la Kijeshi la Nchi za Magharibi (NATO) linaloongozwa na Marekani.
-
Trump: Ukraine ndiyo ya kulaumiwa kwa kuanzisha mzozo na Russia
Apr 26, 2025 05:36Rais wa Marekani, amedai kuwa maneno yake kuhusu kumaliza vita nchini Ukraine kwa siku moja yalitiwa chumvi, na kusema kuwa Kiev ndiyo ya kulaumiwa kwa kuanzisha vita na Russia.
-
Kamanda Mkuu wa US Ulaya: Mauzo ya silaha za Marekani kwa Ulaya yameongezeka kwa 600%
Apr 09, 2025 06:34Kamanda Mkuu wa Marekani katika Kamandi ya jeshi la nchi hiyo barani Ulaya amesema, mauzo ya silaha za Marekani kwa nchi za Ulaya yameongezeka kwa asilimia 600 tangu vilipoanza vita kati ya Russia na Ukraine na akaongeza kuwa, thamani ya kiwango cha silaha zilizoagizwa na nchi za Ulaya tangu vilipoanza vita kati ya Russia na Ukraine hadi sasa imefikia dola bilioni 265.
-
Mamia ya familia zalazimika kukimbia baada ya RSF kushambulia vijiji Darfur, Sudan
Apr 08, 2025 09:42Mamia ya familia zimefurushwa kutoka vijiji viwili magharibi mwa Sudan baada ya mashambulizi yaliyofanywa na wapiganaji wa Vikosi vya Usaidizi wa Haraka (RSF). Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM).