-
Marekani na Ulaya zashindwa kukabiliana na changamoto za kimataifa
Mar 28, 2025 06:04Mark Rutte, Katibu Mkuu wa NATO amesisitiza juu ya umoja wa pande mbili za Bahari ya Atlantiki na kusema kuwa changamoto za kiusalama duniani ni kubwa kiasi kwamba Ulaya na Marekani pake yazo haziwezi kukabiliana nazo.
-
Mapatano mapya ya nchi za Umoja wa Ulaya dhidi ya Russia
Mar 24, 2025 10:34Kwa kutilia maanani jaribio la utawala wa Trump la kuanzisha usitishaji vita nchini Ukraine kwa kuilazimisha ikubali masharti yaliyowekwa na Russia na upinzani wa nchi za Umoja wa Ulaya dhidi ya suala hili, na kwa upande mwingine madai ya baadhi ya viongozi wa Ulaya kuhusu vitisho vya Russia dhidi ya bara hilo, nchi hizo sasa zimechukua hatua mpya kwa ajili ya kukabiliana na Moscow.
-
Elon Musk aunga mkono kujiondoa Marekani katika UN, NATO
Mar 02, 2025 12:25Bilionea Elon Musk ametangaza hadharani kuunga mkono wazo la Marekani kujiondoa kutoka Umoja wa Mataifa UN na Shirika la Kijeshi la Nchi za Magharibi NATO.
-
Trump: Ukraine 'isahau' kujiunga na NATO
Feb 27, 2025 10:59Rais wa Marekani Donald Trump amesema Ukraine "isahau" kujiunga na Shirika la Kijeshi la Nchi za Magharibi (NATO), tamko ambalo ni pigo kwa azma ya muda mrefu ya nchi hiyo ya Ulaya, ambayo iliungwa mkono na Rais wa zamani Joe Biden.
-
Umoja wa Mataifa walishutumu kundi la RSF kwa kuzuia misaada inayopelekwa Darfur, Sudan
Feb 11, 2025 06:52Umoja wa Mataifa umevishutumu Vikosi vya Usaidizi wa Haraka RSF vya Sudan kwa kuzuia msaada katika eneo linalokabiliwa na njaa la Darfur magharibi mwa nchi hiyo.
-
Moscow: Zelensky 'ana kichaa' kwa kutaka silaha za nyuklia za NATO
Feb 06, 2025 02:32Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia, Maria Zakharova amesema mwito wa Rais wa Ukraine, Vladimir Zelensky wa kutaka Kyev ipewe silaha za nyuklia na shirika la kijeshi la NATO unatia wasiwasi mkubwa.
-
Askari wa kulinda amani waliouawa DRC waongezeka na kufikia 13, mapigano yazidi kupamba moto
Jan 26, 2025 11:35Idadi ya askari wa kulinda amani waliouawa katika mapigano na waasi wa M23 mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, DRC imefikia 13.
-
Waasi wa ADF waua raia wasiopungua 21 mashariki ya DRC katika wiki ya Krismasi
Dec 29, 2024 11:01Waasi wa Allied Democratic Forces (ADF) wameua watu wasiopungua 21 katika mashambulio kadhaa waliyofanya katika wiki ya Krismasi kwenye eneo lililokumbwa na mgogoro wa vita mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Iran yajibu tuhuma za Katibu Mkuu mpya wa NATO dhidi ya Tehran
Dec 05, 2024 11:53Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amekosoa matamshi yaliyotolewa na Katibu Mkuu mpya wa shirika la kijeshi la nchi za Maghjaribi, NATO, akiituhumu Iran kuhusu matukio ya Ukraine na kusema matamshi hayo si ya kuwajibika.
-
Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya atoa indhari: Mustakabali wa EU uko 'hatarini'
Nov 26, 2024 06:42Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya anayemaliza muda wake Josep Borrell ametoa indhari kuwa mustakabali wa umoja huo uko hatarini kutokana na kukabiliwa na migogoro mingi kwa wakati mmoja, na akasisitiza kwamba EU haiwezi tena kuitegemea Marekani kwa ajili ya ulinzi wake.