-
Kuingia vita vya Ukraine katika hatua mpya na kuzidisha mzozo kati ya Russia na NATO
Nov 24, 2024 02:26Matukio ya hivi karibuni katika vita vya Ukraine, yaani uamuzi wa nchi za Magharibi wa kutoa ruhusa kwa Ukraine kuishambulia Russia kwa kutumia silaha za masafa marefu za Marekani na Ulaya kwa upande mmoja, na Russia kutumia w kombora jipya la masafa ya kati lenye kasi ya zaidi ya sauti dhidi ya Ukraine kama tahadhari kali kwa Magharibi, kumeibua mgogoro mkubwa na usio na kifani kati ya Russia na NATO.
-
Korea Kusini yadai: Askari wa Korea Kaskazini wanapigana bega kwa bega na Russia Ukraine
Oct 09, 2024 02:25Waziri wa Ulinzi wa Korea Kusini amesema, inavyoonekana wanajeshi wa Korea Kaskazini wanapigana bega kwa bega na wanajeshi wa Russia nchini Ukraine.
-
Erdogan: Marekani haitaki Ukraine iwe mwanachama wa NATO
Sep 27, 2024 03:02Rais wa Uturuki amesema kuwa, ingawaje Marekani ndiye mpinzani mkuu wa Ukraine kujiunga na Shirika la la Kijeshi la Nchi za Magharibi (NATO), lakini pia nchi nyingi za jumuiya hiyo zinapinga Kyev kupewa uanachama.
-
Uhispania: NATO inapaswa kuacha undumakuwili kuhusu Ukraine na Gaza
Jul 12, 2024 11:28Waziri Mkuu wa Uhispania ametoa wito kwa wanachama wa Shirika la Kijeshi la Nchi za Magharibi (NATO) kuheshimu sheria za kimataifa kwa kiwango sawa kuhusiana na Gaza na Ukraine bila "kutumia misimamo na sera za kindumakuwili".
-
Kan’ani: Madai ya NATO ya Iran kuisaidia Russia katika vita vya Ukraine hayana msingi wowote
Jul 11, 2024 13:24Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amesema kuwa, madai ya Shirika la Kijeshi la Nchi za Magharibi NATO kwamba, Iran inaisadia kijeshi Russia katika vita vya Ukraine hayana msingi wowote.
-
Russia: Ukraine katu haitajiunga na shirika la kijeshi la NATO
Jun 19, 2024 12:17Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema ni jambo lisiloyumkinika kwa Ukraine kuwa mwanachama wa shirika la kijeshi la nchi za Magharibi NATO.
-
Mkuu wa NATO: Hatutatuma wanajeshi Ukraine
Jun 07, 2024 02:45Katibu Mkuu wa shirika la kijeshi la nchi za Magharibi NATO amesema muungano huo wa kijeshi wa Wamagharibi hauna mpango wa kutuma wanajeshi wake nchini Ukraine.
-
NATO yaituhumu China kuwa inachochea moto wa vita Ulaya kwa kuiunga mkono Russia
May 26, 2024 11:15Katibu Mkuu wa shirika la kijeshi la Magharibi NATO Jens Stoltenberg ameituhumu China kwamba inachochea vita barani Ulaya kwa kuiunga mkono Russia dhidi ya Ukraine.
-
Marekani kuipa Kenya hadhi ya mshirika wake mkuu asiye mwanachama wa NATO
May 23, 2024 07:20Rais Joe Biden wa Marekani anatarajiwa kuipa Kenya hadhi ya mshirika wake mkuu asiye mwanachama wa NATO wakati wa ziara ya kiserikali ya siku tatu ya Rais wa Kenya William Ruto nchini humo, ambaye amekaribishwa na Biden katika Ikulu ya White House mapema leo kabla ya mapokezi rasmi yatakayoanza kwa ukaguzi wa gwaride la heshima na kufikia kielele chake kwa dhifa ya kifahari ya chakula cha usiku.
-
Onyo jipya kuhusu kuingia NATO katika vita vya Ukraine
Apr 23, 2024 04:25Viktor Orbán, Waziri Mkuu wa Hungary amesema katika taarifa kwamba viongozi wa Umoja wa Ulaya na Jumuiya ya Kujihami ya Kijeshi ya Magharibi (NATO) wanauchukulia mzozo wa Moscow na Kyiv kuwa ni wao na wala hawazingatii hatari ya kujihusisha na mzozo huo. Ameonya kuwa NATO inakaribia kutuma askari wake huko Ukraine.