-
Ndege za kivita za jeshi la Israel zashambulia makazi ya raia Ukanda wa Gaza
Apr 22, 2024 23:38Ndege za kivita za utawala haramu wa Kizayuni Israel jana zilishambulia kusini kwa Ukanda wa Gaza na kubomoa nyumba kadhaa za raia katikati mwa Gaza na shule moja katika kambi ya wakimbizi ya al Bureij.
-
Makabiliano ya kijeshi yasiyo ya kawaida kati ya Russia na Marekani katika anga ya Bahari Nyeusi
Mar 16, 2023 00:45Kituo cha kamandi ya Marekani barani Ulaya kimetangaza kuwa Jumanne asubuhi, ndege ya kivita ya Russia aina ya Sukhoi Su-27 iligongana na ndege isiyo na rubani (droni) ya Marekani aina ya MQ-9 Reaper katika anga ya Bahari Nyeusi, na kupelekea droni hiyo kuanguka kwenye maji ya kimataifa.
-
Watu wanane wameuawa na kujeruhiwa katika mashambulizi ya ndege za kivita za Uturuki kaskazini mwa Iraq
Feb 02, 2022 04:27Vyombo vya habari vimetangaza kuwa watu wasiopungua wanane wameuawa na kujeruhiwa katika mashambulizi ya ndege za kivita za Uturuki katika mji wa Sinjar kaskazini mwa Iraq.
-
Walowezi wa Kizayuni wavamia tena msikiti mtakatifu wa al-Aqswa
Jan 10, 2022 23:10Makumi ya walowezi wa Kizayuni wameuvamia tena msikiti wa al-Aqswa huko Palestina na kuuvunjia heshima msikiti huo ambao ni kibla cha kwanza cha Waislamu.
-
Jeshi la Anga la Iran lapokea ndege za kivita za 'Kauthar'
Jun 25, 2020 03:24Kikosi cha Anga cha Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kimepokea ndege tatu za kivita aina ya 'Kauthar' zilizotengenezwa na wataalamu wa humu nchini.
-
Mahathir bin Mohamad: Marekani inauza duniani ndege zake za kivita zenye ubovu
May 18, 2020 21:56Waziri Mkuu wa zamani wa Malaysia amefichua kwamba serikali ya Marekani iliiuzia nchi hiyo ndege za kivita za F16 huku zikiwa hazina namba maalumu wala vifaa muhimu na kwamba Washington huwa inatekeleza siasa hizo kwa nchi zote za dunia isipokuwa utawala haramu wa Kizayuni.
-
Marekani yatishia kuiwekea vikwazo Misri kwa kununua ndege za kivita za Russia
Nov 16, 2019 07:47Mitazamo ya upande mmoja ya Marekani na juhudi za nchi hiyo za kuimarisha ubeberu wake duniani, ambazo zimepata kasi kubwa katika utawala wa Rais Donald Trump, imechukua muelekeo mpya ambao ulikuwa haujawahi kushuhudiwa huko nyuma.
-
Raia 10 wa Syria wauawa katika mashambulizi ya ndege za muungano vamizi
Mar 17, 2019 13:25Duru za habari za Syria zimetangaza kuwa raia kumi wa nchi hiyo wamuawa katika mashambulizi yaliyofanywa na ndege za muungano vamizi unaoongozwa na Marekani huko mashariki mwa Syria.
-
Iran yaanza kuzalisha kwa wingi ndege ya kivita aina ya 'Kauthar' + Video
Nov 03, 2018 23:11Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeanza kuzalisha kwa wingi ndege ya kisasa ya kivita iliyopewa jina la 'Kauthar'.
-
Ndege irukayo kwa mwendo wa kasi kuliko ya sauti ya “Kowsar”; kielelezo cha uwezo wa Iran unaotokana na wataalamu wa ndani + Video
Aug 22, 2018 21:10Rais Hassan Rouhani amesema: "kujizatiti kulinzi Iran maana yake si kushupalia vita ila ni kutaka kuwa na usalama na amani endelevu, kwa sababu historia imetufunza kuwa kama hatutakuwa imara na wenye nguvu tutasambaratishwa."