-
Rais Rouhani: Iran haiiamini Marekani hata kidogo
Aug 21, 2018 15:21Rais Hassan Rouhani amesema Iran haiiamini Marekani hata kidogo na kwamba nchi za Ulaya, China na Canada, nazo pia hazina imani tena na nchi hiyo.
-
Radiamali kwa makubaliano ya kuiuzia Saudia ndege za kivita za Uingereza aina ya Typhoon
Mar 11, 2018 07:48Hatua ya kusainiwa makubaliano ya kuiuzia Saudi Arabia ndege 48 za kivita aina ya typhoon katika safari ya Muhammad bin Salman mrithi wa kiti cha ufalme wa nchi hiyo huko London imeakisiwa pakubwa na duru za kisiasa na vyombo vya habari vya ndani na nje ya Uingereza.
-
Ndege za Saudia zaendelea kubomoa misikiti nchini Yemen
Nov 26, 2017 13:35Ndege za kijeshi za Saudi Arabia zikishirikiana na za Marekani zimeendelea kubomoa misikiti, nyumba za raia na vituo vya serikali na vya watu binafsi katika maeneo mbalimbali ya Yemen.
-
Ndege ya kivita ya Saudi Arabia yaanguka kusini mwa Yemen; rubani aaga dunia
Sep 14, 2017 07:50Ndege ya kivita ya Saudi Arabia imeanguka katika mkoa wa Abyan kusini mwa Yemen kwa sababu zisizojulikana na kuuwa rubani.
-
Wayemen watungua helikopta ya Saudia, askari kadhaa wauawa
Apr 19, 2017 02:30Jeshi la Yemen likishirikiana na wapiganaji wa kujitolea limefanikiwa kutungua helikopta ya kisasa ya Saudi Arabia ambayo ilikuwa ikitumika katika mashambulizi ya anga ya Riyadh dhidi ya nchi hiyo jirani ya Kiarabu.
-
Shambulizi la Marekani lafeli Syria, ndege zaanza kuruka kama kawaida
Apr 08, 2017 07:52Siku moja baada ya Marekani kufanya shambulio la makombora dhidi ya uwanja wa ndege wa jeshi la anga la Syria wa Shayrat huko Homs, ndege za kivita za Syria zimeanza kuruka kama kawaida kwa ajili ya kuendeleza mapambano dhidi ya magaidi wanaoungwa mkono na Marekani na vibaraka wake.
-
Saudi Arabia yaendelea kufanya mashambulio dhidi ya wananchi wa Yemen
Feb 16, 2017 04:06Ndege za kijeshi za Saudi Arabia zimeendelea kufanya mashambulio dhidi ya Yemen ikitumia mabomu yaliyopigwa marufuku ya fosforasi na vishada.
-
Ndege za kivita za Saudia zashambulia Yemen mara 80 kwa siku moja
Sep 04, 2016 13:56Raia kadhaa wa Yemen, wakiwemo watoto, wameuawa baada ya ndege za kivita za Saudi Arabia kutekeleza mashambulizi zaidi ya 80 kote Yemen katika muda wa siku moja.
-
Ndege za kivita za Saudia zaua raia 5 nchini Yemen
Apr 09, 2016 16:03Kwa akali raia watano Wayemen wameuawa kufuatia mashambulio mapya ya ndege za kivita za utawala wa Saudia katika mkoa wa Tai'zz wa kusini magharibi mwa Yemen.