-
ICC: Mawasiliano na ufuatiliaji unaendelea kufanywa ili kuwatia nguvuni Netanyahu na Gallant
Dec 15, 2024 05:35Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC imetangaza kuwa, mawasiliano na ufuatiliaji mkubwa unaendelea kufanywa ili kuweza kuwatia mbaroni waziri mkuu pamoja na waziri wa zamani wa vita wa utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Syria yajibu madai ya Netanyahu kuhusu Golan inayokaliwa kwa mabavu
Dec 11, 2024 04:29Spika wa Bunge la Syria amejibu madai ya kijeuri ya Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel kuhusu Golan inayokaliwa kwa mabavu.
-
Shirikisho la Wanahabari: Waandishi 104 wameuliwa 2024, zaidi ya nusu wameuawa Ghaza
Dec 10, 2024 11:26Shirikisho la Kimataifa la Wanahabari (IFJ) limetangaza leo kuwa 2024 umekuwa mwaka wa "mauti zaidi" kwa waandishi wa habari kutokana na waandishi 104 wa habari kuuawa duniani kote, huku zaidi ya nusu kati yao wakiuawa katika Ukanda wa Ghaza.
-
Jumuiya 11 za Ufaransa zaihimiza serikali itekeleze agizo la ICC la kumkamata Netanyahu na Gallant
Nov 24, 2024 10:01Jumuiya 11 zisizo za kiserikali (NGO's) nchini Ufaransa zimeitaka serikali ya nchi hiyo itekeleze agizo la Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) ya kukamatwa kwa Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu na mkuu wa zamani wa ulinzi Yoav Gallant.
-
Maji yamfika shingoni Netanyahu; amtimua waziri wa vita, maandamano yashtadi
Nov 06, 2024 03:05Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu amemfuta kazi Waziri wa Vita wa utawala huo, Yoav Gallant kutokana na kushindwa kwa utawala huo wa Kizayuni kukabiliana na mrengo wa Muqawama katika Ukanda wa Gaza na Lebanon.
-
Ripoti: Netanyahu na Gallant wamekimbilia kwenye mahandaki
Oct 26, 2024 11:01Gazeti moja la utawala wa Kizayuni limeripoti kuwa Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu na Yoav Gallant Waziri wa Vita wa utawala huo wamekimbilia katika mahandaki kujificha kwa kuhofia kushambuliwa.
-
Mufti wa Oman apongeza shambulio dhidi ya makazi ya Netanyahu
Oct 21, 2024 06:35Mufti Mkuu wa utawala wa Kisultani wa Oman amepongeza shambulio la wanamuqawama lililolenga makazi ya Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel, Benjamin Netanyahu.
-
UK: Hatutapinga waranti wa ICC wa kukamatwa Netanyahu kwa kuhusika na jinai za kivita
Jul 27, 2024 10:17Serikali mpya ya Uingereza imetangaza kuwa, tofauti na serikali iliyopita ya nchi hiyo, haitapinga kutekelezwa hukumu ya Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC kuhusu kukamatwa Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kwa sababu ya kuhusika na uhalifu wa kivita.
-
Netanyahu kutopitia Ulaya akienda US, anahofia kukamatwa
Jul 11, 2024 02:33Waziri Mkuu wa utawala wa Israel, Benjamin Netanyahu amefuta mpango wa kushukia katika moja ya nchi za Ulaya kabla ya kuendelea na safari yake ya kwenda Marekani, akihofia kuwa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) inajiandaa kutoa waranti wa kumtia nguvuni kwa tuhuma za kuhusika na jinai za kivita katika Ukanda wa Gaza.
-
Jenerali wa Israel: ‘Makubaliano tu’ na Hamas ndio yanayoweza kuwarudisha nyumbani mateka wengine
Jun 09, 2024 09:28Israel Ziv, mkuu wa zamani wa kitengo cha operesheni za jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel amesema, inapasa kuwepo na "mpango mpana na wa kina" wa kuwarudisha mateka waliosalia na kumaliza vita.