Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Niger

  • Zaidi ya watu 100 wauawa katika shambulio dhidi ya kambi ya jeshi Niger

    Zaidi ya watu 100 wauawa katika shambulio dhidi ya kambi ya jeshi Niger

    Dec 05, 2021 12:08

    Shambulio la kigaidi dhidi ya kambi moja ya jeshi magharibi mwa Niger limepelekea zaidi ya watu 100 kuuawa na makumi ya wengine kujeruhiwa.

  • Upinzani dhidi ya wanajeshi wa Ufaransa waongezeka Niger, Burkina Faso

    Upinzani dhidi ya wanajeshi wa Ufaransa waongezeka Niger, Burkina Faso

    Nov 27, 2021 23:21

    Asasi za kitaifa za Niger zimeendelea na harakati kama za wananchi wa Burkina Faso za kufanya maandamano ya kupinga kuwepo wanajeshi wa Ufaransa katika nchi hizo.

  • Wanne wajeruhiwa Burkina Faso katika kupinga msafara wa kijeshi wa Ufaransa

    Wanne wajeruhiwa Burkina Faso katika kupinga msafara wa kijeshi wa Ufaransa

    Nov 21, 2021 04:42

    Vyombo vya habari vimeripot kwamba raia wanne wa Burkina Faso wamejeruhiwa katika malalamiko ya kupinga kupita nchini humo msafara wa kijeshi wa Ufaransa kuelekea nchi jirani ya Niger.

  • Niger kununua silaha na zana za kijeshi kutoka Uturuki

    Niger kununua silaha na zana za kijeshi kutoka Uturuki

    Nov 20, 2021 23:32

    Niger na Uturuki zimetangaza kufikia makubaliano ambayo yanajumuisha kuiuzia Niger silaha mbalimbali zikiwemo ndege zisizo na rubani (droni) na magari ya kivita ili kuongeza uwezo wake wa kijeshi katika kukabiliana na makundi ya kigaidi.

  • 25 wauawa katika shambulio la wabeba silaha Niger

    25 wauawa katika shambulio la wabeba silaha Niger

    Nov 17, 2021 23:27

    Watu wasiopungua 25 wameuawa katika shambulio la watu waliobeba silaha huko kusini magharibi mwa Niger.

  • Wanafunzi 26 waaga dunia katika mkasa wa moto shuleni Niger

    Wanafunzi 26 waaga dunia katika mkasa wa moto shuleni Niger

    Nov 08, 2021 23:53

    Wanafunzi wasiopungua 26 wameaga dunia katika mkasa wa moto ulioikumba shule moja nchini Niger.

  • AU yasikitishwa na shambulio la kigaidi lililoua watu 69 Niger

    AU yasikitishwa na shambulio la kigaidi lililoua watu 69 Niger

    Nov 05, 2021 23:54

    Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika amelaani shambulio la kigaidi lililoua makumi ya watu huko kusini magharibi mwa Niger.

  • Watu wapatao 70 wauawa katika shambulio dhidi ya kijiji kusini magharibi mwa Niger

    Watu wapatao 70 wauawa katika shambulio dhidi ya kijiji kusini magharibi mwa Niger

    Nov 04, 2021 23:38

    Serikali ya Niger imethibitisha kuwa watu wasiopungua 69, akiwemo meya wa mji, wameuawa katika shambulio lililofanywa na watu wenye silaha kusini magharibi mwa nchi hiyo.

  • Watu 10 wauawa msikitini katika hujuma ya kigaidi Niger

    Watu 10 wauawa msikitini katika hujuma ya kigaidi Niger

    Oct 14, 2021 02:34

    Taarifa zinasema kuwa watu 10 wameuawa katika shambulizi la kigaidi lililolenga msikiti wa kijiji kimoja huko magharibi mwa Niger.

  • Amnesty International: Watoto wengi wanauawa au kusajiliwa na makundi ya kitakfiri

    Amnesty International: Watoto wengi wanauawa au kusajiliwa na makundi ya kitakfiri

    Sep 13, 2021 21:03

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limetangaza kuwa, watoto wengi wamekuwa wakisajiliwa na kutumiwa kama askari vitani na makundi ya kitakfiri au kuuawa na makundi hayo katika maeneo ya mpaka wa Burkina Faso, Niger na Mali

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS