Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Niger

  • Kipindupindu chaua zaidi ya watu 100 katika maeneo ya mpaka wa pamoja wa Niger na Nigeria

    Kipindupindu chaua zaidi ya watu 100 katika maeneo ya mpaka wa pamoja wa Niger na Nigeria

    Sep 04, 2021 02:17

    Wizara ya Afya ya Niger imetangaza kuwa, watu zaidi ya 100 wameaga dunia kwa ugonjwa wa kipindupindu ulioyakumba maeneo ya karibu na mpaka wa pamoja wa nchi hiyo na Nigeria.

  • Niger: Wanajeshi 16 wauawa katika shambulio la magaidi wa Boko Haram

    Niger: Wanajeshi 16 wauawa katika shambulio la magaidi wa Boko Haram

    Aug 26, 2021 03:34

    Wizara ya Ulinzi ya Niger imetangaza kuwa, kwa akali wanajeshi wake 16 wameuawa kufuatia shambulio la kigaidi kusini magharibi mwa nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika.

  • Makumi ya watu wauawa katika hujuma ya silaha magharibi mwa Niger

    Makumi ya watu wauawa katika hujuma ya silaha magharibi mwa Niger

    Aug 17, 2021 11:21

    Kundi moja la watu wasiojulikana limeua karibu raia 40 huko magharini mwa nchi ya Niger.

  • Watu 19 wauawa katika shambulizi jipya la wabeba silaha Niger

    Watu 19 wauawa katika shambulizi jipya la wabeba silaha Niger

    Jul 30, 2021 08:09

    Raia 19 wameuawa kwenye shambulizi linaloaminika kuwa la kigaidi katika mpaka wa Niger na Mali.

  • Watu 14 wauawa katika shambulio la kundi la wabeba silaha magharibi ya Niger

    Watu 14 wauawa katika shambulio la kundi la wabeba silaha magharibi ya Niger

    Jul 27, 2021 10:23

    Serikali ya Niger imetangaza kuwa raia 14 wameuliwa katika shambulio lililofanywa na kundi la wabeba silaha magharibi mwa nchi hiyo.

  • Watu 19 wauawa katika shambulio la wabeba silaha nchini Niger

    Watu 19 wauawa katika shambulio la wabeba silaha nchini Niger

    Apr 19, 2021 03:16

    Kwa akali watu 19 wanaripotiwa kuuawa katika shambulio la wabeba silaha huko magharibi mwa Niger,mpakani mwa nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika na Mali.

  • Rais mpya wa Niger aapishwa baada ya jaribio la mapinduzi

    Rais mpya wa Niger aapishwa baada ya jaribio la mapinduzi

    Apr 02, 2021 22:08

    Mohamed Bazoum ameapishwa kuwa Rais mpya wa Niger, siku chache baada ya kujiri jaribio la mapinduzi lililofeli nchini humo.

  • Milio mikubwa ya risasi yasikika karibu na ofisi ya rais nchini Niger

    Milio mikubwa ya risasi yasikika karibu na ofisi ya rais nchini Niger

    Mar 31, 2021 03:13

    Milio mikubwa ya risasi imesikika mapema leo karibu na ofisi ya rais wa Niger katika mji mkuu wa nchi hiyo Niamey, siku mbili kabla ya kuapishwa rais mpya Mohamed Bazoum.

  • Serikali ya Niger: Raia waliouawa katika mashambulio ya wabeba silaha hawapungui 137

    Serikali ya Niger: Raia waliouawa katika mashambulio ya wabeba silaha hawapungui 137

    Mar 23, 2021 02:52

    Serikali ya Niger imetangaza kuwa, raia waliouawa katika hujuma za kinyama zilizofanywa na washambuliaji waliobeba silaha katika vijiji kadhaa vya eneo la Tahoua kusini magharibi mwa nchi hiyo hawapungui 137.

  • Mahakama ya Katiba ya Niger 'yabariki' ushindi wa Mohamed Bazoum

    Mahakama ya Katiba ya Niger 'yabariki' ushindi wa Mohamed Bazoum

    Mar 22, 2021 06:43

    Mahakama ya Katiba ya Niger imeidhinisha ushindi wa matokeo ya uchaguzi wa rais yaliyompa ushindi mgombea wa chama tawala cha PNDS, Mohamed Bazoum.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS