-
Wananchi wa Congo Brazaville wapiga kura, Nguesso atazamiwa kushinda
Mar 20, 2021 23:55Wananchi wa Jamhuri ya Congo Brazaville wanaelekea katika masanduku ya kupigia kura leo Jumapili kushiriki uchaguzi wa rais ambao umesusiwa na chama kikuu cha upinzani nchini humo.
-
Iran yalaani mashambulio ya silaha nchini Niger
Mar 20, 2021 04:52Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani mashambulio yaliyofanywa hivi karibuni na wabeba silaha nchini Niger, ambayo yamepelekea makumi ya watu kupoteza maisha na wengine wengi kujeruhiwa.
-
Rais anayeondoka wa Niger ashinda Tuzo ya Mo Ibrahim
Mar 09, 2021 07:28Rais anayeondoka wa Niger, Mahamadou Issoufou ndiye mshindi wa tuzo ya kifahari ya Mo Ibrahim.
-
UN yataka wahusika wa mauaji ya raia 100 Niger wakamatwe
Jan 04, 2021 12:10Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameeleza kusikitishwa kwake na mashambulio mawili ya megenge ya wabeba silaha huko nchini Niger, yaliyopelekea watu wasiopungua 100 kuuawa.
-
Watu karibu 80 wauawa katika mashambulio ya wabeba silaha Niger
Jan 02, 2021 23:50Makumi ya watu wameuawa katika mashambulio mawili yanayosadikika kutekelezwa na makundi ya kigaidi huko nchini Niger.
-
Watu kadhaa wauawa na kujeruhiwa katika shambulio la magaidi wa Boko Haram huko Niger
Dec 14, 2020 04:13Magaidi wa kundi la Boko Haram wamekishambulia kijiji kimoja kusini mashariki mwa Niger na kuua na kujeruhi watu kadhaa.
-
Kikao cha Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi wanachama wa OIC kimeanza Niamey, Niger
Nov 28, 2020 01:02Kikao cha 47 cha Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Nchi za Kiislamu (OIC) kimeanza huko Niamey mji mkuu wa Niger.
-
Wafadhili wakutana kukusanya dola bilioni 2.4 kwa ajili ya eneo la Sahel
Oct 21, 2020 01:12Wafadhili wa kimataifa wamekutana huko Copenhagen, Denmark kuchangisha fedha kwa ajili ya mataifa matatu yaliyo ukanda wa kati wa Sahel barani Afrika ambayo ni Burkina Faso, Niger na Mali kutokana na janga kubwa la kibinadamu linalokabili wakazi wa nchi hizo.
-
Makaburi 6 ya umati yagunduliwa Niger, yana maiti za makumi ya raia
Sep 05, 2020 02:44Afisa wa shirika moja lisilo la serikali nchini Niger amesema kuwa kumegunduliwa makaburi sita ya umati yenye maiti za karibu watu 71 wanaodaiwa kuuliwa na wanajeshi wa serikali katika eneo la Tillabéri magharibi mwa Niger.
-
Rais Rouhani: Mitazamo ya Iran na Niger katika masuala ya kimataifa inafanana
Sep 01, 2020 03:18Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika mazungumzo yake ya simu na mwenzake wa Niger kuwa nchi mbili hizi zimekuwa na ushirikiano amilifu na mitazamo inayofanana katika masuala na taasisi za kimataifa na kubainisha kuwa, nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika bila shaka itakabiliana na uchukuaji wa maamuzi ya upande mmoja wa Marekani katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.