-
Kikao cha Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi wanachama wa OIC kimeanza Niamey, Niger
Nov 28, 2020 01:02Kikao cha 47 cha Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Nchi za Kiislamu (OIC) kimeanza huko Niamey mji mkuu wa Niger.
-
Wafadhili wakutana kukusanya dola bilioni 2.4 kwa ajili ya eneo la Sahel
Oct 21, 2020 01:12Wafadhili wa kimataifa wamekutana huko Copenhagen, Denmark kuchangisha fedha kwa ajili ya mataifa matatu yaliyo ukanda wa kati wa Sahel barani Afrika ambayo ni Burkina Faso, Niger na Mali kutokana na janga kubwa la kibinadamu linalokabili wakazi wa nchi hizo.
-
Makaburi 6 ya umati yagunduliwa Niger, yana maiti za makumi ya raia
Sep 05, 2020 02:44Afisa wa shirika moja lisilo la serikali nchini Niger amesema kuwa kumegunduliwa makaburi sita ya umati yenye maiti za karibu watu 71 wanaodaiwa kuuliwa na wanajeshi wa serikali katika eneo la Tillabéri magharibi mwa Niger.
-
Rais Rouhani: Mitazamo ya Iran na Niger katika masuala ya kimataifa inafanana
Sep 01, 2020 03:18Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika mazungumzo yake ya simu na mwenzake wa Niger kuwa nchi mbili hizi zimekuwa na ushirikiano amilifu na mitazamo inayofanana katika masuala na taasisi za kimataifa na kubainisha kuwa, nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika bila shaka itakabiliana na uchukuaji wa maamuzi ya upande mmoja wa Marekani katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.
-
Mvua na mafuriko yaua watu 45 nchini Niger
Aug 29, 2020 19:25Kwa akali watu 45 wameaga dunia kufuatia mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa zinazonyesha nchini Niger.
-
Watu 8 wauawa wakiwemo raia sita wa Ufaransa katika hujuma Niger
Aug 10, 2020 03:24Watu wanane, wakiwemo raia sita wa Ufaransa, wameuawa nchini Niger katika hujuma iliyotekelezwa na watu wenye silaha, Kusini Magharibi mwa nchi hiyo.
-
Nchi za Sahel Afrika zaomba kufutiwa madeni yote kwa ajili ya kukabiliana na ugaidi
Jul 01, 2020 06:52Mkutano wa nchi Sahel Afrika na Ufaransa umetoa wito wa kufutwa madeni yote ya nchi hizo ili kusaidia juhudi za kupambana na athari mbaya zilizosababishwa na mlipuko wa maambukizi ya virusi vya corona, mapambano dhidi ya ugaidi na mikakati ya ustawi na maendeleo ya kiuchumi na kijamii.
-
Askari 19 wa Niger na Nigeria wauawa katika mashambulizi ya Boko Haram
May 20, 2020 22:05Wanajeshi wasiopungua 12 wa Niger wameuawa katika shambulizi la kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram katika eneo la Diffa, kusini mashariki mwa nchi.
-
Magaidi 75 wa Boko Haram waangamizwa kusini mwa Niger
May 14, 2020 19:58Wizara ya Ulinzi ya Niger imetangaza habari ya kuuawa makumi ya wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram katika operesheni za jeshi la nchi hiyo huko kusini mashariki mwa nchi.
-
Waziri wa Leba wa Niger afariki dunia kwa virusi vya Corona
May 05, 2020 06:40Waziri wa leba wa Niger amefariki dunia kutokana na ugonjwa wa Covid-19 unaosababishwa na virusi vya Corona.