-
Watu wasiopungua 150 waaga dunia kutokana na mafuriko nchini Pakistan
Jul 12, 2022 02:56Watu wasiopungua 150 wamefariki dunia nchini Pakistan kutokana na mafuriko na matukio yanayohusiana na mvua kali zilizonyesha hivi karibuni.
-
Onyo la Mkuu wa Kamandi ya Majeshi ya Iran kwa Israel
Jun 27, 2022 06:55Kamanda mkuu wa vikosi vya ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameuonya vikali utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya kuchukua hatua yoyote ya kichokozi katika eneo la Asia Magharibi na kusisitiza kuwa, sera ya Israel ya kuingilia mambo ya ndani ya nchi nyingine na chokochoko zozote za utawala huo katika eneo zitakabiliwa na jibu mwafaka.
-
Rais Raisi atilia mkazo wajibu wa kustawishwa uhusiano wa Iran na Pakistan
Jun 15, 2022 03:01Rais Ibrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, nchi yake haina mipaka katika kustawisha uhusiano wake na Pakistan na kusisitiza kuwa, Iran ina uwezo wa kutosha wa kudhamini mahitaji muhimu ya Pakistan katika nyuga tofauti zikiwemo za mafuta, gesi na umeme.
-
Radiamali mbalimbali kuhusiana na hatua ya baadhi ya viongozi wa chama tawala nchini India ya kumvunjia heshima Mtume SAW
Jun 07, 2022 06:18Matamshi ya utovu wa adabu ya viongozi wawili wa chama tawala nchini India cha Bharatiya Janata (BJP) dhidi ya Bwana Mtume (SAW) yamekabiliwa na wimbi la malalamiko ya mataifa ya Kiislamu na Waislamu kwa ujumla ulimwenguni.
-
Imran Khan aipa serikali ya Pakistan siku sita kuvunja mabunge na kutangaza uchaguzi mpya
May 26, 2022 22:02Aliyekuwa waziri mkuu wa Pakistan Imran Khan, ametoa onyo kwa serikali kwamba ama itangaze uchaguzi mpya katika muda wa siku sita zijazo au ataongoza tena maandamano ya mamilioni ya watu katika mji mkuu Islamabad.
-
Imran Khan asema ametishiwa tena kuuawa, arekodi mkanda wa video wa majina ya wahusika
May 15, 2022 03:30Waziri Mkuu wa Pakistan aliyeuzuliwa Imran Khan amesema, njama za kutishia maisha yake zinaendelea kufanywa ndani na nje ya nchi hiyo na kwamba amesharekodi mkanda wa video wenye majina ya watu wote wanaokula njama dhidi yake.
-
Shehbaz Sharif achaguliwa kuwa Waziri Mkuu Pakistan baada ya Khan kutimuliwa
Apr 11, 2022 21:59Bunge la Pakistani limemchagua Shehbaz Sharif kuwa Waziri Mkuu mpya wa nchi hiyo baada ya mtangulizi wake, Imran Khan, kuondolewa na wabunge wengi wa chama chake kujiuzulu kutoka katika Bunge la Kitaifa.
-
Kwa mara ya kwanza katika historia: Bunge la Pakistan latoa nara ya "Mauti kwa Marekani"
Apr 04, 2022 03:07Kwa mara ya kwanza katika historia ya Bunge la Pakistan, wabunge wa nchi hiyo wametoa nara ya "Kifo kwa Marekani" huku bunge hilo likipinga kura ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu wa nchi hiyo, iliyotaka kumuondoa madarakani Imran Khan, ambaye ameyatuhumu madola ya kigeni kuwa yanaingilia demokrasia ya nchi hiyo.
-
Bunge la Pakistan lazuia kuuzuliwa Imran Khan, lakosoa uingiliaji wa maajinabi
Apr 03, 2022 22:05Bunge la Pakistan limetupilia mbali mpango wa kupiga kura ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu wa nchi hiyo, Imran Khan, likieleza kuwa limechukua hatua hiyo kutokana na uingiliaji wa madola ya kigeni kwenye mambo ya ndani ya nchi hiyo.
-
Waziri Mkuu wa Pakistan asema, Marekani inapanga njama ya kumuondoa madarakani
Apr 03, 2022 02:53Waziri Mkuu wa Pakistani, Imran Khan amedokeza kuwa huenda akakataa matokeo ya kura ya kumuondoa madarakani akieleza kuwa kura hiyo ni njama iliyoratibiwa na Marekani ambayo ameituhumu kwa kujaribu kupindua utawala wake.