-
Imran Khan asema ametishiwa tena kuuawa, arekodi mkanda wa video wa majina ya wahusika
May 15, 2022 03:30Waziri Mkuu wa Pakistan aliyeuzuliwa Imran Khan amesema, njama za kutishia maisha yake zinaendelea kufanywa ndani na nje ya nchi hiyo na kwamba amesharekodi mkanda wa video wenye majina ya watu wote wanaokula njama dhidi yake.
-
Shehbaz Sharif achaguliwa kuwa Waziri Mkuu Pakistan baada ya Khan kutimuliwa
Apr 11, 2022 21:59Bunge la Pakistani limemchagua Shehbaz Sharif kuwa Waziri Mkuu mpya wa nchi hiyo baada ya mtangulizi wake, Imran Khan, kuondolewa na wabunge wengi wa chama chake kujiuzulu kutoka katika Bunge la Kitaifa.
-
Kwa mara ya kwanza katika historia: Bunge la Pakistan latoa nara ya "Mauti kwa Marekani"
Apr 04, 2022 03:07Kwa mara ya kwanza katika historia ya Bunge la Pakistan, wabunge wa nchi hiyo wametoa nara ya "Kifo kwa Marekani" huku bunge hilo likipinga kura ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu wa nchi hiyo, iliyotaka kumuondoa madarakani Imran Khan, ambaye ameyatuhumu madola ya kigeni kuwa yanaingilia demokrasia ya nchi hiyo.
-
Bunge la Pakistan lazuia kuuzuliwa Imran Khan, lakosoa uingiliaji wa maajinabi
Apr 03, 2022 22:05Bunge la Pakistan limetupilia mbali mpango wa kupiga kura ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu wa nchi hiyo, Imran Khan, likieleza kuwa limechukua hatua hiyo kutokana na uingiliaji wa madola ya kigeni kwenye mambo ya ndani ya nchi hiyo.
-
Waziri Mkuu wa Pakistan asema, Marekani inapanga njama ya kumuondoa madarakani
Apr 03, 2022 02:53Waziri Mkuu wa Pakistani, Imran Khan amedokeza kuwa huenda akakataa matokeo ya kura ya kumuondoa madarakani akieleza kuwa kura hiyo ni njama iliyoratibiwa na Marekani ambayo ameituhumu kwa kujaribu kupindua utawala wake.
-
Bunge la Pakistan kujadili muswada wa kutokuwa na imani na Waziri Mkuu, Imran Khan
Mar 29, 2022 22:29Wabunge wa upinzani nchini Pakistan wamewasilisha pendekezo la kutokuwa na imani na Waziri Mkuu, Imran Khan bungeni, wakitumai kuiondoa madarakani serikali yakke huku kukiwa na shutuma kwamba amesimamia vibaya uchumi wa taifa hilo.
-
Indhari ya Imran Khan kuhusu njama za madola ya kigeni za kuiondoa madarakani serikali ya Pakistan
Mar 29, 2022 21:49Waziri Mkuu wa Pakistan ametahadharisha kuhusu uingliaji wa nchi ajinabi katika masuala ya ndani ya nchi hiyo kwa lengo la kuiondoa madarakani serikali yake na kusisitiza kuwa hatasalimu amri mbele ya wapinzani wa ndani na njama za nchi kigeni.
-
Mkutano wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu mjini Islamabad
Mar 23, 2022 06:16Mkutano wa 48 wa siku mbili wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) ulianza jana Jumanne mjini Islamabad, mji mkuu wa Pakistan.
-
Pakistan yasisitiza kuimarishwa hadhi ya kimataifa ya Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC)
Mar 22, 2022 08:25Waziri wa Mambo ya Nje wa Pakistan amesema katika hafla ya ufunguzi wa kikao cha 48 cha Baraza la Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) kwamba: "Kuimarishwa na kutatua matatizo ya nchi zote wanachama ndilo lengo kuu la OIC."
-
Yemen yalaani shambulio la kigaidi lililoua Waislamu waliokuwa wakisali Sala ya Ijumaa, Pakistan
Mar 06, 2022 00:51Wizara ya Mambo ya Nje serikali ya uwokovu wa kitaifa ya Yemen imelaani shambulio la kigaidi lililolenga Waislamu waliokuwa wakisali ndani ya msikiti mmoja wa mji wa Peshawar, kaskazini-magharibi mwa Pakistan.