Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Palestina

  • Israel yaishambulia Syria baada ya hujuma karibu na kituo cha nyuklia cha Dimona

    Israel yaishambulia Syria baada ya hujuma karibu na kituo cha nyuklia cha Dimona

    Apr 22, 2021 06:42

    Jeshi la Anga la Syria limetungua makombora ya utawala haramu wa Israel ambayo yalikuwa yamelenga eneo moja la Damascus.

  • Arab League: Maazimio ya Baraza la Usalama la UN kuhusu ulazima kuondoka maghasibu huko Palestina yatekelezwe

    Arab League: Maazimio ya Baraza la Usalama la UN kuhusu ulazima kuondoka maghasibu huko Palestina yatekelezwe

    Apr 20, 2021 21:59

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) amesisitiza udharura wa kutekelezwa maazimio yote ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa yanayotaka kukomeshwa uvamizi wa Israel na kukaliwa kwa mabavu ardhi ya Palestina.

  • Mufti wa Quds ataka kuchukuliwa hatua za kukabiliana na hujuma dhidi ya Masjdul-Aqswa

    Mufti wa Quds ataka kuchukuliwa hatua za kukabiliana na hujuma dhidi ya Masjdul-Aqswa

    Apr 15, 2021 03:49

    Mufti wa Quds na ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu amewataka viongozi wa mataifa ya Kiarabu, ya Kiislamu na wananchi wa mataifa hayo kuchukua hatua za haraka za kusitisha hujuma za utawala haramu wa Israel dhidi ya Msikiti wa al-Aqswa.

  • Wapalestina wakasirishwa na kitendo chha Wazayuni cha kuzuia adhana kwa kutumia vipaza sauti

    Wapalestina wakasirishwa na kitendo chha Wazayuni cha kuzuia adhana kwa kutumia vipaza sauti

    Apr 14, 2021 06:59

    Serikali ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina na Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS zimelaani vikali hatua ya utawala haramu wa Israel ya kukata nyaya za vipaza sauti katika Msikiti wa al-Aqswa na kuzuia kuadhiniwa kwa kutumia vipaza sauti.

  • Amnesty: Israel inazuia kupelekwa chanjo ya corona kwa Wapalestina

    Amnesty: Israel inazuia kupelekwa chanjo ya corona kwa Wapalestina

    Apr 07, 2021 22:40

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limetangaza kuwa, hatua za kihasama za utawala wa Israel zinazuia operesheni ya kutumwa chanjo ya virusi vya corona huko Palestina.

  • Askari wa Israel wamuua shahidi dereva wa Kipalestina Ukingo wa Magharibi

    Askari wa Israel wamuua shahidi dereva wa Kipalestina Ukingo wa Magharibi

    Apr 06, 2021 23:03

    Wanajeshi katili wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamemuua shahidi dereva Mpalestina kwa kumpiga risasi akiwa ndani ya gari lake katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.

  • Palestina: Ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu ni jinai

    Palestina: Ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu ni jinai

    Apr 05, 2021 00:00

    Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina imetangaza kuwa, ujenzi wa vitongozi vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu ni jinai dhidi ya taifa la Palestina.

  • Iran yalaani kufunguliwa ubalozi wa Bahrain mjini Tel Aviv

    Iran yalaani kufunguliwa ubalozi wa Bahrain mjini Tel Aviv

    Apr 04, 2021 03:25

    Kongamano la Kimataifa la Kuunga Mkono Intifadha ya Palestina katika Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu, Bunge la Iran, limelaani hatua ya utawala wa kifalme wa Bahrain kufungua ubalozi katika utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Katibu Mkuu wa Hizbullah: Marekani imo katika awamu ya kwanza ya kuporomoka

    Katibu Mkuu wa Hizbullah: Marekani imo katika awamu ya kwanza ya kuporomoka

    Apr 01, 2021 02:05

    Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, Marekani si ile ya miaka iliyopita na kwa sasa imo katika awamu ya kwanza ya kusambaratika, na kwamba Israel, sawa kabisa na bwana wake, inaelekea kusambaratika na kutoweka.

  • Morocco yakandamiza maandamano ya kuliunga mkono taifa la Palestina

    Morocco yakandamiza maandamano ya kuliunga mkono taifa la Palestina

    Mar 31, 2021 21:45

    Serikali ya Morocco imekandamiza maandamano ya wananchi wa nchi hiyo kuliunga mkono taifa linalodhulumiwa la Palestina, ikiwa ni hatua ya kwanza kabisa ya kuzuia kulaaniwa utawala wa Kizayuni nchini humo tangu Rabbat ilipotangaza uhusiano wa kawaida na Israel.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS