-
Watunisia waungana na Wapalestina kuadhimisha Siku ya Ardhi na kulaani kuanzisha uhusiano na Israel
Mar 31, 2021 07:19Jumuiya na makundi mbali mbali ya kisiasa na kiraia nchini Tunisia yameadhimisha Siku ya Ardhi ya Palestina na kulaani juhudi na hatua zozote zile za kutaka kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel.
-
Kwa mara ya kwanza katika ulimwengu wa Kiarabu; Bahrain imejizuia kulaani ukandamizaji wanaofanyiwa Wapalestina
Mar 24, 2021 22:03Mwakilishi wa serikali ya Bahrain katika Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa amejizuia kulaani ukiukaji wa haki za binadamu na ukandamizaji unaofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina.
-
Uafriti wa Israel wa kutaka kuvuruga uchaguzi wa Palestina
Mar 22, 2021 22:14Mkuu wa shirika la usalama wa ndani la utawala haramu wa Kizayuni wa Israel Shin Bet amemtaka Rais Mahmoud Abbas wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina aghairishe uchaguzi wa Palestina ikiwa harakati ya Hamas itashiriki katika uchaguzi huo.
-
Badran: Israel inaogopa ushindi wa Hamas katika uchaguzi ujao
Mar 21, 2021 04:12Mwanachama mwandamizi wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema utawala wa Kizayuni wa Israel umeingiwa na kiwewe na wahaka mkubwa ukifahamu vyema kuwa harakati hiyo ya muqawama itaibuka mshindi katika uchaguzi ujao wa Palestina hususan katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Makundi ya Palestina yasisitiza kufanyika uchaguzi na kuunda chombo kimoja cha uongozi
Mar 18, 2021 23:14Makundi ya Palestina yametoa taarifa mwishoni mwa kikao chao huko Cairo mji mkuu wa Misri yakikisisitizia kufanyika uchaguzi na kuunda chombo kimoja cha uongozi.
-
Wanamuqawama watungua 'drone' ya kijasusi ya Israel huko Gaza
Mar 18, 2021 05:10Wanamuqawama wa Palestina wamefanikiwa kutungua ndege ya kijasusi isiyo na rubani ya utawala wa Kizayuni wa Israel kaskazini mwa Ukanda wa Gaza.
-
Duru ya pili ya mazungumzo ya kitaifa ya Wapalestina imeanza Cairo, Misri
Mar 15, 2021 04:43Makundi ya Palestina leo Jumatatu yameanza duru yao ya pili ya mazungumzo huko Cairo mji mkuu wa Misri kuhusu suala la uchaguzi.
-
Mayahudi 300 wa Ethiopia (Mafalasha) wawasili Palestina inayokaliwa kwa mabavu na Wazayuni
Mar 12, 2021 08:33Utawala wa Kizayuni wa Israel umewahamishia katika ardhi za Palestina unazozikalia kwa mabavu, Mayahudi wengine 300 wa Ethiopia ambao ni maarufu kwa jina la Mafalasha, ikiwa ni sehemu ya njama za kiuadui za Wazayuni, za kuvuruga muundo wa kijamii wa Palestina.
-
Askari wa Kizayuni wawaua shahidi Wapalestina watatu katika Ukanda wa Gaza
Mar 07, 2021 10:26Askari wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel wamewaua shahidi wavuvi watatu Wapalestina baada ya kuifyatulia kombora boti yao ya uvuvi.
-
Jaji Mkuu Afrika Kusini atakiwa kuomba radhi kwa kutoa matamshi yanayoiunga mkono Israel
Mar 05, 2021 04:43Tume ya Mahakama za Afrika Kusini imemwamuru Jaji Mkuu wa nchi hiyo kuomba radhi na kutengua matamshi aliyotoa mwaka jana ambayo yalitambuliwa kuwa yanauunga mkono utawala ghasibu wa Isarel, katika nchi hiyo ya Kiafrika inayotetea watu wanaodhulumiwa wa Palestina.