-
Ujumbe wa HAMAS waonana na Rais wa Syria mara ya kwanza baada ya miaka 10
Oct 19, 2022 21:15Duru za Syria zimetangaza habari ya kukutana ujumbe mmoja wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS na Rais Bashar al Assad wa nchi hiyo ikiwa ni mara ya kwanza katika kipindi cha miaka 10 iliyopita.
-
Australia yatengua uamuzi wa kuitambua Quds kuwa mji mkuu wa Israel
Oct 18, 2022 04:07Serikali ya Australia imetangaza habari ya kubatilisha uamuzi wake tata wa kulitambua eneo la magharibi mwa Quds linalokaliwa kwa mabavu, eti kuwa ni mji mkuu wa utawala haramu wa Israel.
-
Wasudani wapinga mwenendo wa kuanzisha uhusiano na utawala haramu wa Israel
Oct 17, 2022 07:30Katika kikao kinachofanyika mjini Khartoum kuhusu suala la Palestina, makundi ya Kiislamu ya Sudan yametahadharisha kuhusu hatua ya Waarabu ya kuanzisha uhusiano na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Sababu za kushtadi ukatili na ukandamizaji wa utawala wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina
Oct 16, 2022 06:45Tangu Jumamosi ya tarehe 8 Oktoba, utawala haramu wa Kizayuni wa Israel umeshadidisha tena ukatili na ukandamizaji dhidi ya Wapalestina.
-
Wazayuni watiwa kiwewe na kundi la muqawama wa "Arin al Usud" la Ukingo wa Magharibi
Oct 15, 2022 07:52Kundi jipya la muqawama wa Palestina la 'Arin al Usud (Pango la Simba) limeutia kiwewe kiwewe utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Wajordan waandamana kuwaunga mkono Wapalestina waliozingirwa katika kambi ya Shuafat
Oct 15, 2022 04:21Mamia ya wananchi wa Jordan wameandamana wakiunga mkono muqawama na mapambano ya wananchi wa Palestina na kulaaniwa kuzingirwa Wapalestina katika kambi ya wakimbizi ya Shuafat huko Quds Palestina inayokaliwa kwa mabavu
-
Makundi ya Palestina yaandaa hati ya maridhiano katika mkutano wao wa Algeria
Oct 13, 2022 04:36Makundi ya Wapalestina yameandaa hati ya maridhiano mwishoni mwa mkutano wao wa siku mbili uliofanyika nchini Algeria.
-
Israel yapuuza azimio la UN la kusitisha ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni
Sep 29, 2022 08:36Mjumbe wa Umoja wa Mataifa katika eneo la Mashariki ya Kati amesema Israel inaendelea kupuuza azimio la mwaka 2016 la Baraza la Usalama la UN, linaloutaka utawala huo wa Kizayuni usitishe ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kiyahudi katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu.
-
Hamas: Kuendelea kuhujumiwa al-Aqsa 'kutalipua' Asia Magharibi
Sep 28, 2022 04:42Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amelaani vikali hujuma na uvamizi unaoendelea wa wanajeshi wa Kizayuni na walowezi wa Kiyahudi dhidi ya msikiti mtakatifu wa al-Aqsa katika mji wa Quds unaokaliwa kwa mabavu.
-
HAMAS: Israel inatumia vibaya udhaifu wa ulimwengu wa Kiarabu kudhibiti Masjidul-Aqswa
Sep 27, 2022 04:42Mjumbe mwandamizi wa ofiisi ya kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, utawala haramu wa Israel unatumia vibaya udhaifu ambao umeugubika ulimwengu wa Kiarabu na hivyo kuudhibiti mji wa Beitul-Muqaddas na msikiti mtakatidu wa al-Aqswa.