Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Palestina

  • HAMAS: Taifa la Palestina litapata ushindi katika vita vyake na utawala haramu wa Israel

    HAMAS: Taifa la Palestina litapata ushindi katika vita vyake na utawala haramu wa Israel

    Sep 27, 2022 01:15

    Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, taifa la Palestina ndilo litakaloibuka na ushindi katika vita na utawala ghasibu wa israel.

  • Al Shimi: Nembo ya muqawama wa Wapalestina katika msikiti wa al Aqsa

    Al Shimi: Nembo ya muqawama wa Wapalestina katika msikiti wa al Aqsa

    Sep 27, 2022 01:04

    Wanajeshi ghasibu wa utawala wa Kizayuni wamemshambulia na kumvamia Abubakar al Shimi mzee mwenyeji wa mji wa Quds unaokaliwa kwa mabavu aliye na umri wa miaka 65 ambaye alikuwa na lengo la kuingia katika Msikiti mtukufu wa al Aqsa.

  • Amir-Abdollahian: Mwarubaini wa uvamizi Palestina ni kuitishwa kura ya maoni

    Amir-Abdollahian: Mwarubaini wa uvamizi Palestina ni kuitishwa kura ya maoni

    Sep 25, 2022 06:33

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, tatizo la uvamizi na mzozo mkongwe katika Asia Magharibi litatuliwa kwa kutekelezwa ubunifu wa kidemokrasia wa Iran na kuitishwa kura ya maoni huko Palestina.

  • Algeria: Tuko pamoja na Wapalestina na kamwe hatutoruhusu ardhi zao zikoloniwe na wageni

    Algeria: Tuko pamoja na Wapalestina na kamwe hatutoruhusu ardhi zao zikoloniwe na wageni

    Sep 25, 2022 03:18

    Rais wa Algeria amesema kuwa, hakuna mtu yeyote nchini humo asiyeliunga mkono taifa la Palestina na kusisitiza kuwa, Algiers kamwe haitoruhusu ardhi za Palestina zikoloniwe na wageni.

  • Wazayuni 8 wajeruhiwa katika oparesheni ya kujitolea kufa shahidi ya Wapalestina mjini Ramallah

    Wazayuni 8 wajeruhiwa katika oparesheni ya kujitolea kufa shahidi ya Wapalestina mjini Ramallah

    Sep 23, 2022 04:21

    Vyombo vya habari vya Kiarabu jana usiku vilitangaza habari ya kutekelezwa oparesheni ya kufa shahidi dhidi ya wanajeshi wa utawala wa Kizayuni huko Ramallah.

  • Malalamiko ya Wapalestina dhidi ya kuyahudisha mfumo wa elimu wa Quds

    Malalamiko ya Wapalestina dhidi ya kuyahudisha mfumo wa elimu wa Quds

    Sep 20, 2022 21:42

    Skuli za Palestina katika mji wa Quds unaokaliwa kwa mabavu zimeanzisha mgomo jumuishi kwa ajili ya kulalamikia sera za elimu za utawala ghasibu wa Israel pamoja na mpango mchafu wa utawala huo wa kuziyahudisha shule za Kipalestina.

  • Algeria yazialika harakati za Hamas na Fat'h kushiriki mazungumzo na maelewano

    Algeria yazialika harakati za Hamas na Fat'h kushiriki mazungumzo na maelewano

    Sep 18, 2022 22:08

    Algeria imetangaza kuwa, imewaalika viongozi Wapalestina wa harakati za Hamas na Fat'h kushiriki katika mazungumzo ya maelewano ya kitaifa mjini Algiers.

  • Askofu wa Othodoksi Palestina: Kupita kwa muda hakutafanya jinai za maghasibu wa Baitul Muqaddas zisahaulike

    Askofu wa Othodoksi Palestina: Kupita kwa muda hakutafanya jinai za maghasibu wa Baitul Muqaddas zisahaulike

    Sep 17, 2022 03:00

    Askofu Mkuu wa Kanisa la Othodoksi mjini Baitul Muqaddas (Jerusalem) amesema: Palestina haitafunga mikono na kusimama kizembe katika kukabiliana na upendeleaji unaofanywa na Magharibi kwa utawala ghasibu wa Kizayuni pamoja na sera na jinai zake.

  • Pigo jingine kwa Israel, Rais wa Chile akataa kumpokea balozi mpya wa utawala wa Kizayuni

    Pigo jingine kwa Israel, Rais wa Chile akataa kumpokea balozi mpya wa utawala wa Kizayuni

    Sep 16, 2022 20:54

    Rais wa Chile amekataa kupokea vitambulisho vya balozi mpya wa utawala wa Kizayuni wa Israel nchini humo, ikiwa ni kutangaza waziwazi uungaji mkono wake kwa wananchi wanaodhulumiwa wa Palestina.

  • Wapalestina 2 wauawa shahidi, Mzayuni aangamizwa Ukingo wa Magharibi

    Wapalestina 2 wauawa shahidi, Mzayuni aangamizwa Ukingo wa Magharibi

    Sep 14, 2022 03:22

    Jeshi katili la utawala wa Kizayuni wa Israel limewaua shahidi vijana wawili wa Kipalestina kwa kuwapiga risasi kaskazini mwa eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan linalokaliwa kwa mabavu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS