-
Afisa wa Hamas: Ukingo wa Magharibi umekuwa kitovu cha muqawama
Sep 06, 2022 23:27Kiongozi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesisitiza kuwa, Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na mji wa Jenin vimekuwa hifadhi na nguzo ya muqawama.
-
Mashirika 290 yamtaka Biden asimamishe hujuma za Israel dhidi ya Palestina
Sep 02, 2022 07:33Zaidi ya mashirika 290 ya Marekani na kimataifa yametoa mwito kwa Rais Joe Biden wa nchi hiyo yakimtaka achukue hatua za kivitendo za kuzuia mashambulizi ya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Palestina.
-
Israel yaua shahidi Wapalestina 2; yashambulia Syria kwa makombora
Sep 01, 2022 03:02Utawala wa Kizayuni wa Israel umeendeleza jinai na chokochoko zake dhidi ya mataifa mawili ya Waislamu katika eneo hili la Asia Magharibi.
-
Wafungwa 1,000 wa Kipalestina watishia kuanza mgomo wa kula
Aug 29, 2022 22:02Wafungwa zaidi ya 1,000 wanaoshikiliwa katika jela na magereza ya utawala wa Kizayuni wa Israel wameonya kuwa wataanza mgomo wa kula chakula kulalamikia kukanyagwa kwa haki zao na ukandamizaji.
-
Sisitizo la kuendelezwa "medani za pamoja za mapambano" na kuangaliwa Israel kama adui wa pamoja wa Wapalestina wote
Aug 29, 2022 22:01Huku utawala haramu wa Kizayuni wa Israel ukiwa umeanzisha vita vikali vya kisaikolojia katika siku za hivi karibuni kuulenga uhusiano wa Hamas na Jihadul-Islami, viongozi wa harakati hizo mbili za muqawama za Palestina wamesisitiza katika mazungumzo yao kwamba wameungana na wako kitu kimopja katika mapambano yao dhidi ya utawala huo ghasibu.
-
Wafungwa wa Palestina waanza mgomo wa kula
Aug 22, 2022 06:37Mateka wa Kipalestina wanaoshikiliwa katika jela za kuogofya za utawala wa Kizayuni wa Israel wameanzisha mgomo usio na kikomo wa kula chakula.
-
Kongamano la Palestina lalaani hatua za Israel dhidi ya Msikiti wa Al Aqsa
Aug 22, 2022 02:04Sekretarieti ya Kudumu ya Kongamano la Uungaji Mkono kwa Intifadha ya Palestina katika Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) imelaani hatua za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Msikiti wa Al-Aqsa katika mji wa Quds (Jerusalem).
-
Sheikh Ikrima Sabri: Quds na Msikiti wa al-Aqswa vinapitia kipindi kigumu
Aug 21, 2022 06:43Khatibu wa msikiti mtakatifu wa al-Aqswa huko Palestina amesema kuwa, Quds na Msikiti wa al-Aqswa vinapitia kipindi kigumu kabisa.
-
Kuanzisha uchunguzi Polisi ya Ujerumani dhidi ya Rais wa Palestina kuhusiana na Holocaust; undumakuwili mwingine wa Magharibi
Aug 21, 2022 03:50Polisi ya Ujerumani imesema, imeanzisha uchunguzi dhidi ya Mahmoud Abbas, Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina kwa sababu ya kauli aliyotoa kuhusu Holocaust, yaani mauaji ya halaiki ya Wayahudi yanayodaiwa kufanywa na utawala wa Kinazi wa Ujerumani chini ya uongozi wa Adolf Hitler.
-
Iran: Misikiti yote itaendelea kuwa vituo vya muqawama hadi ardhi zote za Palestina zitakapokombolewa
Aug 21, 2022 02:29Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiisalmu ya Iran amesema kuwa, Misikiti yote duniani itaendelea kuwa vituo vya muqawama dhidi ya utawala wa Kizayuni hadi zitakapokombolewa ardhi zote za Palestina.