-
Iran: Misikiti yote itaendelea kuwa vituo vya muqawama hadi ardhi zote za Palestina zitakapokombolewa
Aug 21, 2022 02:29Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiisalmu ya Iran amesema kuwa, Misikiti yote duniani itaendelea kuwa vituo vya muqawama dhidi ya utawala wa Kizayuni hadi zitakapokombolewa ardhi zote za Palestina.
-
Uhusiano wa Uturuki na Israel walipiga jambia kwa nyuma taifa la Palestina
Aug 20, 2022 05:26Kiongozi mmoja wa ngazi za juu wa Harakati ya Ukombozi wa Wananchi wa Palestina amelaani vikali hatua ya Uturuki ya kurejesha uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
HAMAS: Marekani ni mshirika wa jinai za Israel dhidi ya Wapalestina
Aug 17, 2022 23:41Mousa Mohammed Abu Marzook, Naibu Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, Marekani ni mshirika wa jinai zinazofanywa na utawala haramu wa Israel dhidi ya wananchi wa Palestina.
-
Wapalestina wa Gaza wataka kushtakiwa Wazayuni walioua watoto wao
Aug 17, 2022 07:47Wakazi wa Ukanda wa Gaza wamefanya maandamano wakitaka kufunguliwa mashitaka utawala wa Kizayuni wa Israel katika mahakama za kimataifa, kwa kuua watoto wa Kipalestina katika eneo hilo ambalo liko chini mzingiro.
-
HAMAS: Muqawama ndio njia bora kabisa ya kuikomboa ardhi ya Palestina
Aug 15, 2022 22:12Mjumbe mwandamizi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, muqawama na mapambano ndio njia bora kabisa ya kuzikomboa ardhi za Palestina na kuifanya Palestina kuwa huru.
-
Kani: Israel inakoseshwa usingizi na kizazi kipya cha Wapalestina
Aug 14, 2022 03:00Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anayehusika na masuala ya kisiasa amesema kuwaua watoto wa Kipalestina kumegeuka na kuwa jambo la kawaida kwa utawala wa Kizayuni wa Israel, na umwagaji damu huo unadhihirisha wazi kuwa Wazayuni wanakiogopa kizazi kipya cha Wapalestina.
-
Wairani waandamana kulaani ukatili wa Israel dhidi ya wakazi wa Gaza
Aug 10, 2022 06:54Wananchi wa Iran jana Jumanne walifanya maandamano katika mji mkuu Tehran kulaani jinai za utawala wa Kizayuni za kuwaua shahidi wanawake na watoto wa Kipalestina katika Ukanda wa Gaza.
-
AU yalaani ukatili wa Israel dhidi ya Wapalestina wa Gaza
Aug 08, 2022 02:58Umoja wa Afrika (AU) umeungana na jamii ya kimataifa kulaani jinai za kinyama zinazoendelea kufanywa na utawala wa Kizayuni dhidi ya wananchi wasio na ulinzi wa Ukanda wa Ghaza huko Palestina.
-
Nasrullah: Makombora ya muqawama yameilazimisha Israel isalimu amri
Aug 08, 2022 02:54Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema maadui Wazayuni wametangaza kuwa wako tayari kufikia makubaliano ya usitishaji vita baada ya makombora na maroketi ya wanamuqawama wa Ukanda wa Gaza kuutiwa kiwewe na wahakama utawala huo wa Kizayuni.
-
Ushujaa wa vijana wa Palestina, Yemen ni matunda ya Mapinduzi ya Kiislamu
Aug 07, 2022 22:40Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran sambamba na kulaani jinai zinazofanywa na Wazayuni katika Ukanda wa Gaza, amesema ushujaa wa vijana wa Palestina na Yemen ni muendelezo wa Mapinduzi ya Kiislamu.