Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Palestina

  • HAMAS: Kuanzisha uhusiano na Wazayuni ndio sababu ya kushadidi jinai dhidi ya Wapalestina

    HAMAS: Kuanzisha uhusiano na Wazayuni ndio sababu ya kushadidi jinai dhidi ya Wapalestina

    Aug 06, 2022 22:29

    Msemaji wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema, mwenendo wa kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel ndio unaohamasisha utawala huo dhalimu kushadidisha jinai zake dhidi ya wananchi wa Palestina.

  • Raisi alaani ukatili wa Israel dhidi ya Wapalestina Gaza, IRGC yatoa neno

    Raisi alaani ukatili wa Israel dhidi ya Wapalestina Gaza, IRGC yatoa neno

    Aug 06, 2022 06:30

    Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani mashambulizi ya kikatili ya utawala wa Kizayuni wa Israel yaliyopelekea kuuawa shahidi na kujeruhiwa makumi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza.

  • Algeria na Tunisia zalaani kuuliwa wananchi madhulumu wa Palestina

    Algeria na Tunisia zalaani kuuliwa wananchi madhulumu wa Palestina

    Aug 06, 2022 03:05

    Wizara za Mambo ya Nje za Algeria na Tunisia zimelaani hatua ya utawala wa Kizayuni wa Israel ya kuwaua wananchi madhulumu wa Palestina.

  • Rais wa Iran: Wananchi wa mataifa ya Kiislamu ya eneo wanauchukia mno utawala ghasibu wa Kizayuni

    Rais wa Iran: Wananchi wa mataifa ya Kiislamu ya eneo wanauchukia mno utawala ghasibu wa Kizayuni

    Aug 04, 2022 22:26

    Rais Ebrahim Raisi amesema, leo wananchi wa mataifa ya Kiislamu ya eneo wanauchukia mno utawala ghasibu wa Kizayuni na wanaamini kuwa Muqawama na mapambano ndio njia kuu na ya msingi ya kukabiliana na utawala huo.

  • Spika wa Bunge la Iran: Jihadi na mapambano ndiyo njia pekee ya ushindi

    Spika wa Bunge la Iran: Jihadi na mapambano ndiyo njia pekee ya ushindi

    Aug 04, 2022 02:43

    Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) ameonana na Katibu Mkuu wa Jihadul Islami ya Palestina na kusisitiza kuwa, njia pekaa ya ushindi ni jihadi na mapambano.

  • Wazayuni wavamia msikiti wa al Aqsa na kuwatia nguvuni Wapalestina 12

    Wazayuni wavamia msikiti wa al Aqsa na kuwatia nguvuni Wapalestina 12

    Aug 03, 2022 22:04

    Jeshi la utawala haramu wa Israel limewatia nguvu Wapalestina 12 sambamba na kundi la walowezi wa Kizayuni kuuhujumu msikiti mtukufu wa al Aqsa, ambacho ni Kibla cha Kwanza cha Waislamu.

  • Tawi la kijeshi la HAMAS lawaonyesha askari wawili wa Israel linaowashikilia mateka

    Tawi la kijeshi la HAMAS lawaonyesha askari wawili wa Israel linaowashikilia mateka

    Jul 31, 2022 07:10

    Brigedi za Izzuddinul-Qassam, tawi la kijeshi la Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina, HAMAS zimetoa taswira, sambamba na kuwahutubu Wazayuni kwamba: viongozi wa utawala wa Kizayuni wanakuambieni uongo kuhusu mateka.

  • Afrika Kusini yataka Israel itambuliwe kama 'utawala wa apathaidi'

    Afrika Kusini yataka Israel itambuliwe kama 'utawala wa apathaidi'

    Jul 28, 2022 03:11

    Afrika Kusini imeelezea wasiwasi wake juu ya ukatili unaoendelea wa utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina na kwa msingi huo imetoa wito kwa Umoja wa Mataifa kuitambua Israel kama taifa la apathaidi au ubaguzi wa rangi.

  • Baada ya kutimuliwa Russia, shirika la uhajiri wa Mayahudi kuhamishiwa Israel

    Baada ya kutimuliwa Russia, shirika la uhajiri wa Mayahudi kuhamishiwa Israel

    Jul 25, 2022 03:44

    Sambamba na kushadidi mivutano katika uhusiano wa Russia na Israel, duru za habari zimeripoti kuwa shirika la uhajiri wa Mayahudi limeandaa mpango wa siri wa kuhamishia Palestina inayokaliwa kwa mabavu (Israel) ofisi yake iliyokuweko mjini Moscow.

  • UN yapitisha azimio dhidi ya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel

    UN yapitisha azimio dhidi ya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel

    Jul 24, 2022 22:57

    Umoja wa Mataifa umepitisha azimio linalosisitiza kuwa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel hauna haki ya kupora rasilimali za watu wa Palestina na za miinuko ya Golan ya Syria unayoikalia kwa mabavu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS