-
Ismail Hania asisitiza kuuhami Msikiti wa al-Aqswa kwa kutumia nyenzo zote
Jun 06, 2022 05:41Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amesisitiza udharura wa kutumiwa suhula na nyenzo zote kwa ajili ya kuulinda na kuuhamai Msikiti Mtakatifu wa al-Aqswa.
-
Wapalestina watolewa mwito wa kumiminika Msikiti wa Al Aqsa kukabiliana na njama ya wazayuni
Jun 04, 2022 07:35Makundi mbalimbali ya Kipalestina yamewatolea mwito Wapalestina kukusanyika mnamo siku zijazo katika msikiti wa Al Aqsa kukabiliana na njama nyingine ya walowezi wa kizayuni.
-
Kufikishwa salamu za maneno za Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa Papa Francis
Jun 02, 2022 07:25Ayatullah Alireza Arafi Mkurugenzi wa Vyuo vya Kidini, Hawza nchini Iran amemfikishia Papa Francis, Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani salamu za maneno za Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, alipokutana na kuzungumza na Papa mjini Vatican.
-
Wanajeshi wa Israel wampiga risasi na kumuua mwanamke Mpalestina
Jun 01, 2022 05:45Wanajeshi wa utawala haramu wa Israel wamempiga risasi na kumuua shahidi mwanamke Mpalestina kwa kisingizio kuwa eti alikuwa analenga kutekeleza shambulizi la kujitolea kufa shahidi.
-
Hamas: Mapambano dhidi ya utawala wa Kizayuni yanaendelea hadi mwisho
May 31, 2022 03:04Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, mapambano dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel yataendelea hadi wavamizi hao wa ardhi za Palestina na za Waislamu watakapotimuliwa kikamilifu katika ardhi hizo.
-
Ansarullah yawapongeza Wapalestina kwa kusimama kidete kuulinda Msikiti wa al Aqsa
May 30, 2022 05:49Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Ansarullah ya Yemen imelipongeza taifa la Palestina kwa kusimama kiume kukihami na kukilinda Kibla cha Kwanza cha Waislamu yaani Msikiti wa al Aqsa katika siku ya "Maandamano ya Bendera."
-
Khatibu wa Msikiti nwa al-Aqswa: "Maandamano ya Bendera" katu hayataingia Masjidul-Aqswa
May 28, 2022 22:55Khatibu wa Masjidul-Aqswa amesema kuwa, uamuzi wa Wazayuni wa kufanya "Maandamano ya Bendera" ni hatua ya kichochezi na amesisitiza juu ya udharura wa kuchukuliwa hatua ya kuwazuia Wazayuni hao kuingia katika msikiti matakatifu wa al-Aqswa.
-
Mwaka mmoja baada ya Vita vya Seif al-Quds
May 21, 2022 05:58Mwaka mmoja umepita tangu kutokea Vita vya Seif al-Quds. Licha ya kupita mwaka mmoja tangu kumalizika vita hivyo, lakini natija ya vita hivyo haijaishia katika siku 12 tu za vita hivyo.
-
Khalid Mash'al: Palestina haitaruhusu kutekelezwa njama za kuiyahudisha Masjdul-Aqswa
May 18, 2022 03:17Kiongozi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) nje ya nchi amesisitiza kuwa, Msikiti wa al-Aqswa ni eneo la kidini na ni la Kiislamu kikamilifu na kwamba, wananchi wa Palestina hawataruhusu kutekelezwa njama chafu za kuliyahudisha eneo hilo takatifu.
-
Waziri Mkuu wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina ayataka mataifa ya dunia yaisusie Israel
May 16, 2022 22:02Waziri Mkuu wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina ameyataka mataifa yote ya dunia kupasisha miswaada ya kuususia utawala ghasibu wa Israel unaotenda jinai kila uchao dhidi ya wananchi wa Palestina.