Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Palestina

  • Dakta al-Zahar: Uvamizi wa Israel hauna dosari kwa azma ya Wapalestina ya kukomboa ardhi zao

    Dakta al-Zahar: Uvamizi wa Israel hauna dosari kwa azma ya Wapalestina ya kukomboa ardhi zao

    May 02, 2022 05:36

    Mahmoud az-Zahar, kiongozi mwandamizi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesisitiza kuwa, kuendelea mzingiro na uvamizi wa Wazayuni katu hakutatia dosari azma ya Wapalestina ya kukomboa ardhi zao.

  • Sisitizo la Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu la kupanuliwa muqawama kote Palestina

    Sisitizo la Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu la kupanuliwa muqawama kote Palestina

    Apr 30, 2022 06:59

    Ayatullah Khamenei Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu jana Ijumaa alihutubu kwa njia ya televisheni kwa mnasaba wa maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Quds ambapo alitaja dalili kadhaa zenye kutia matumaini kuhusu mustakbali tofauti kwa maslahi ya wananchi wa Palestina ikiwemo kupanuliwa uwanja wa mapambano katika ardhi yote ya Palestina na mkabala wake, kudhoofika utawala ghasibu wa Kizayuni na muungaji wake mkono mkuu yaani Marekani.

  • Sayyid Nasrullah: Tutajibu papo hapo shambulizi lolote la Israel

    Sayyid Nasrullah: Tutajibu papo hapo shambulizi lolote la Israel

    Apr 29, 2022 22:35

    Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema uchaguzi uliopangwa kufanyika nchini humo hautaizuia harakati hiyo kujibu shambulio lolote la Israeli, akisisitiza kuwa Hizbullah itajibu papo hapo shambulio lolote la utawala huo haramu.

  • Utawala wa Israel washambulia Msikiti wa Al Aqsa katika Siku ya Quds

    Utawala wa Israel washambulia Msikiti wa Al Aqsa katika Siku ya Quds

    Apr 29, 2022 03:51

    Wanajeshi katili wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamewashambulia Waislamu katika Msikiti wa Al Aqsa mjini Quds (Jerusalem) asubuhi ya leo Ijumaa ya mwisho ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani inayosadifiana na Siku ya Kimataifa ya Quds.

  • Barabara za Ghaza zapambwa kusubiri Siku ya Kimataifa ya Quds

    Barabara za Ghaza zapambwa kusubiri Siku ya Kimataifa ya Quds

    Apr 28, 2022 02:36

    Huku Ijumaa ya kesho ya tarehe 29 Aprili mwaka ikiwa ni Siku ya Kimataifa ya Quds yaani Ijumaa ya mwisho ya mwezi Mtukufu wa Ramadhani, tayari mitaa ya Ukanda wa Ghaza imepambwa kwa picha mbalimbali za mashahidi wa kambi ya muqawama ya ukombozi wa Palestina.

  • Oman yataka ukombozi wa Palestina na kukomeshwa kukaliwa kwa mabavu na Wazayuni

    Oman yataka ukombozi wa Palestina na kukomeshwa kukaliwa kwa mabavu na Wazayuni

    Apr 27, 2022 22:17

    Nchi ya Oman imetaka jamii ya kimataifa itekeleze majukumu yake ya kukomesha kukaliwa kwa mabavu na Wazayuni ardhi za Palestina kwa mujibu wa maazimio ya Umoja wa Mataifa.

  • Mashabiki wa mpira wapiga nara za

    Mashabiki wa mpira wapiga nara za "Palestina Palestina" kwenye uwanja wa mpira Morocco

    Apr 27, 2022 22:15

    Nara ya "Palestina! Palestina!" imerindima katika uwanja wa mpira wa miguu kutoka kwa mashabiki wa mchezo huo nchini Morocco, nchi ambayo imetangaza uhusiano wa kawaida na Wazayuni kinyume na msimamo wa wananchi wa nchi hiyo.

  • Ismail Hania: Kadhia ya Quds haiwezi kupatiwa ufumbuzi kupitia njia ya mazungumzo

    Ismail Hania: Kadhia ya Quds haiwezi kupatiwa ufumbuzi kupitia njia ya mazungumzo

    Apr 27, 2022 03:34

    Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, wimbi jipya la muqawama ni sisitizo kwamba, kadhia ya Quds, msikiti wa al-Aqswa, haki ya kurejea wakimbizi na kuachiliwa huru wafungwa wa Kipalestina ni mambo ambayo hayawezi kupatiwa ufumbuzi kwa kukukaa katika meza ya mazungumzo.

  • Kiongozi Muadhamu: Siku ya Quds ni fursa mwafaka ya kutangaza kuwa pamoja na Wapalestina

    Kiongozi Muadhamu: Siku ya Quds ni fursa mwafaka ya kutangaza kuwa pamoja na Wapalestina

    Apr 26, 2022 23:22

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, maadhimisho ya Siku ya Quds ni fursa ya kutangaza kuwa pamoja na wananchi madhulumu wa Palestina ambapo licha ya taifa hilo kudhulumiwa lakini limepata nguvu na kuwa imara.

  • Umoja wa Afrika walaani hujuma za Israel dhidi ya Msikiti wa Al Aqsa na Gaza

    Umoja wa Afrika walaani hujuma za Israel dhidi ya Msikiti wa Al Aqsa na Gaza

    Apr 23, 2022 23:04

    Umoja wa Afrika umelaani hujuma za utawala haramu wa Israel dhidi ya Msikiti wa Al Aqsa mjini Quds (Jerusalem) na Ukanda wa Gaza sambamba na kusisitiza uungaji mkono wake kwa watu wa Palestina.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS