-
Rais Putin: Watu wa Magharibi hawaielewi Russia
Mar 28, 2025 02:27Rais Vladimir Putin amesema baadhi ya watu katika nchi za Magharibi hawaielewi Russia, lakini amesisitiza kuwa ukweli huo hauwezi kutatiza hata kidogo ustawi na maendeleo ya nchi hiyo.
-
India: BRICS haina msimamo wa pamoja kuhusu suala la kuachana na sarafu ya dola ya Marekani
Mar 07, 2025 06:43Waziri wa Mambo ya Nje wa India Subrahmanyam Jaishankar amesema, dhana ya kwamba kundi la mataifa ya BRICS linafanya juu chini kukabiliana na sarafu ya dola ya Marekani "haijathibitishwa na ukweli" na akaongeza kuwa, India hasa kwa upande wake "haina nia hata kidogo ya kuidhoofisha sarafu hiyo.
-
Erdogan: Marekani inayatumia makundi ya kigaidi katika eneo kudhamini usalama wa Israel
Oct 26, 2024 03:02Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki amesema, Marekani inayatumia makundi ya kigaidi katika Mashariki ya Kati kwa ajili ya kudhamnini usalama wa utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Putin: Sababu kuu kabisa ya mvutano Asia Magharibi ni kutokuwepo taifa huru la Palestina
Oct 25, 2024 07:32Rais Vladimir Pitin wa Russia ameelezea wasiwasi wake kuhusu kuzorota hali ya mambo katika eneo la Asia Magharibi, na kusema kuwa, sababu kuu ya mgogoro wa eneo hilo ni kutokuwepo taifa huru la Palestina.
-
Putin: Huenda BRICS ikaunda Bunge lake katika siku zijazo
Jul 12, 2024 03:04Rais Vladimir Putin amedokeza kuwa, yumkini kundi la BRICS la mataifa yanayoinukia kiuchumi duniani likaunda Bunge lake katika mustakabali wa karibu.
-
Putin asifu uhusiano unaokua kwa kasi kati ya Russia na Uturuki
Jul 04, 2024 02:25Rais Vladimir Putin wa Russia amesema kuwa uhusiano kati ya nchi yake na Uturuki unakuwa kwa kasi licha ya changamoto zilizopo za kimataifa.
-
Putin: Kwa sasa hakuna mpango wa kuuteka mji wa Kharkiv huko Ukraine
May 18, 2024 03:58Rais wa Vladimir Putin wa Russia amesema kuwa operesheni za mapigano katika eneo la Kharkiv nchini Ukraine zinalenga kuanzisha "ukanda salama" utakaozuia mashambulizi Ukraine kufika katika ardhi ya Russia.
-
Putin: 'Ni upuuzi tu' kudai kwamba Russia inapanga kuishambulia kijeshi NATO
Mar 28, 2024 10:08Rais Vladimir Putin wa Russia amesema, nchi yake haina nia ya kuingia kwenye makabiliano ya kijeshi na vibaraka wa Marekani wa Ulaya Mashariki.
-
Putin: Mgogoro wa Palestina umefikia kiwango cha maafa ya binadamu
Dec 05, 2023 09:28Rais wa Russia amesema, mzozo wa muda mrefu katika Palestina inayokaliwa kwa mabavu umefikia hali ya maafa halisi ya binadamu.
-
Radiamali ya Rais Putin kuhusu matamshi ya hivi karibuni ya Rais wa Marekani
Oct 18, 2023 06:33Rais wa Russia amesema katika radiamali yake kuhusiana na matamshi ya hivi karibuni ya Rais Joe Biden wa Marekani kwamba Marekani lazima ijifunze jinsi ya kuheshimu wenzake.