-
Ammar Hakim: Kosa la Marekani la kuwauwa makamanda wa muqawama halisameheki
Jan 04, 2023 07:34Sayyid Ammar Hakim, Kiongozi wa Harakati ya Hikma ya Kitaifa ya Iraq amesema kuwa, kosa la Marekani la kuwauwa makamanda wa ushindi wa muqawama halisameheki.
-
Mkuu wa Muungano wa al-Fat-h: Wairaqi wana deni kubwa kwa Kamanda Qasem Soleimani
Dec 28, 2021 02:45Mkuu wa Muungano wa kisiasa wa al Fat-h nchini Iraq amesema, Wairaqi wana deni kubwa kwa Shahidi Qasem Soleimani na Shahidi Abu Mahdi al Muhandis.
-
Wairaq wafurahishwa na waranti wa kusakwa Trump ili akajibu mashtaka ya mauaji
Jan 08, 2021 07:04Katibu Mkuu wa "Kataib al Shuhada" ya Iraq ameipongeza idara ya mahakama ya nchi hiyo kwa kutoa waranti wa kutiwa mbaroni rais wa Marekani, Donald Trump ili akajibu mashtaka ya kuwaua kidhulma kamanda Qassem Soleimani na Abou Mahdi al Muhandis ndani ya ardhi ya Iraq.
-
Mshauri wa Rais wa Syria: Qassem Suleimani alikuwa kamanda wa nyoyo na mpamabanaji wa njia ya ukombozi
Jan 08, 2021 02:42Mshauri maalumu wa Rais Bashar al Assad wa Syria amesema, shahidi Qassem Suleimani alikuwa mpigania uadilifu kwa ajili ya wanadamu na mpambanaji wa njia ya ukombozi.
-
Binti wa shahidi Qassem Suleimani atuma salamu maalum kwa wananchi wa Palestina
Jan 05, 2021 07:43Zainab Suleimani, binti wa shahidi Qassem Suleimani ametuma salamu maalum kwa wananchi wa Palestina kwa mnasaba wa maadhimisho maalum yaliyofanyika katika Ukanda wa Gaza kwa anuani ya "Shahidi wa Quds" katika mwaka wa kwanza wa kumbukumbu ya kuuawa shahidi kamanda huyo wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu IRGC.
-
Nouri al-Maliki: Qassem Suleimani alifelisha njama za kubadilisha utambulisho wa eneo
Dec 26, 2020 02:45Waziri Mkuu wa zamani wa Iraq Nouri Al-Maliki amesema, kwa mapambano, uvumlivu mkubwa na jihadi yake, shahid Qassem Suleimani aliweza kufelisha na kuzima njama nyingi za maadui za kutaka kubadilisha utambulisho wa eneo la Asia Magharibi.
-
Hizbullah: Shahidi Suleimani alikuwa nguvu kubwa mbele ya njama za ubeberu wa Marekani
Dec 22, 2020 07:34Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesisitiza kuwa, shahidi Qassem Suleimani alikuwa nguvu kubwa mbele ya mipango kiistikbari ya Marekani na ndio maana ameuliwa kigaidi na adui.
-
'Trump ni gaidi nambari moja duniani'
Nov 01, 2020 02:48Mshauri wa sera za kigeni wa Spika wa Bunge la Iran ameashiria mauaji ya Luteni Jenerali Qassem Soleimani kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) ambaye aliuawa kigaidi kufuatia amri ya Rais Donald Trump wa Marekani na kusema, Trump ni gaidi nambari moja duniani.
-
Haniya: Shahidi Soleimani alikuwa na nafasi ya "msingi" katika kuiunga mkono Palestina
Mar 05, 2020 03:42Mkuu wa ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amesema, Luteni Jenerali Qassem Soleimani, Kamanda wa kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) aliyeuliwa shahidi alikuwa na nafasi muhimu na ya msingi katika kuunga mkono muqawama.
-
Sayyid Hassan Nasrullah: Kukabiliana na Marekani ni lazima kuwe kwa pande zote na kuhusishe sekta zote
Feb 16, 2020 16:06Katibu Mkuu wa Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa Marekani ni muhusika wa vita vyote eneo la Asia Magharibi na amesisitiza kuwa, ni lazima kuendesha muqawama katika pande zote kukabiliana na utawala huo wa kibeberu wa Marekani.