-
Sababu za mafanikio ya Shahidi Soleimani katika mtazamo wa Sayyid Hassan Nasrullah
Feb 14, 2020 12:44Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon Sayyid Hassan Nasrullah amefanya mazungumzo na televisheni ya al Mayadeen akieleza mchango na nfasi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika kuunda harakati hiyo ya mapambano na mafanikio ya Kamanda Qassem Soleimani.
-
IRGC: 'Majeraha ya Ubongo' ni njia ya kuficha idadi ya askari wa Marekani waliouawa katika hujuma ya makombora ya Iran
Feb 01, 2020 13:38Msemaji wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema madai ya Marekani kuhusu idadi kubwa ya wanajeshi wake waliopata 'majeraha ya ubongo' kufuatia makombora ya Iran ya ulipizaji kisasi yaliyolenga kituo cha kijeshi cha Ain al Assad nchini Iraq ni njia ya kuficha idadi ya wanajeshi waliouawa katika oparesheni hiyo.
-
Maveterani wa kivita Marekani wamtaka Trump aombe radhi kwa kudharau hasara kubwa iliyosababishwa na kipigo cha Iran
Jan 26, 2020 03:20Kundi moja la maveterani wa vita vya nje ya Marekani wamemtaka rais wa nchi hiyo Donald Trump aombe radhi kwa kudharau madhara waliyopata wanajeshi wa Marekani baada ya kambi yao ya Ain al Assad ya nchini Iraq kushambuliwa kwa makumi ya makombora ya Iran.
-
Hizbullah: Mapinduzi ya wananchi wa Iraq yataendelea hadi Wamarekani watakapofurushwa Asia Magharibi
Jan 25, 2020 11:37Brigedi za Hizbullah ya Iraq zimesema kuwa mapinduzi ya wananchi wa nchi hiyo yataendelea hadi wavamizi wote wa Kimarekani watakapofurushwa kikamilifu nchini Iraq na katika eneo zima la Asia Magharibi.
-
"ISIS walitaka kushambulia ubalozi wa Marekani Lebanon na kuisingizia Hizbullah"
Jan 24, 2020 06:15Gazeti la al Jamhuriyyah la Lebanon limefichua kuwa, genge la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) lilikuwa limepanga njama za kushambulia ubalozi wa Marekani mjini Beirut ili kuibebesha lawama harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo Hizbullah hasa baada ya Marekani kumuua kigaidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, Kamanda wa Kikosi cha Quds, cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH.
-
Rais Rouhani: Wananchi wa Asia Magharibi wahakikishe Marekani inaondoka katika eneo
Jan 15, 2020 12:43Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kuna udharura kwa wananchi wa Asia Magharibi kufanya kila wawezalo kuhakikisha kwamba, majeshi ya Marekani yanaondoka katika eneo hili.
-
Kamisheni ya Bunge la Ujerumani: Kitendo cha Marekani cha kumuua Soleimani ni kuvunja sheria za kimataifa
Jan 15, 2020 07:37Wataalamu wa Huduma za Kielimu wa Bunge la Ujerumani wametoa ripoti maalumu na kusema kuwa, kitendo cha Marekani cha kumuua Luteni Jenerali Qassem Soleimani, Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya nchini Iran ni kinyume cha sheria za kimataifa na wamepinga madai ya Trump ya kuhalalisha jinai hiyo.
-
Nyigo mpya za ufafanuazi wa Nasrullah kuhusu sababu na matokeo ya kuuliwa kigaidi kiongozi wa muqawama
Jan 14, 2020 07:36Siku ya Jumapili Sayyid Hassan Nsrullah, Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon alizungumzia nyigo mpya za sababu na matokeo ya jinai za serikali ya kigaidi ya Marekani katika kumuua shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani na watu wengine aliokuwa nao.
-
Rais Rouhani: Umoja wa Ulaya unapaswa kuwa na misimamo huru, usiburuzwe na Marekani
Jan 10, 2020 00:36Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, mahesabu ghalati na yenye madhara makubwa ya Marekani yanatokana na kushindwa nchi hiyo kuielewa vizuri Iran na eneo la Asia Magharibi. Amesisitiza kuwa, Umoja wa Ulaya unapaswa kuwa huru na usikubali kuburuzwa na Marekani na kuifanya Iran ikate tamaa kikamilifu na umoja huo.
-
Newsweek: Wanajeshi 270 wa Marekani wameuawa katika mashambulio ya SEPAH
Jan 10, 2020 00:34Kwa mara ya kwanza toleo la mtandao la gazeti la kila wiki la Newsweek la Marekani limefichua kwamba, kwa uchache wanajeshi 270 wa nchi hiyo wameangamizwa katika shambulio la usiku wa kuamkia Jumatano lililofanywa na Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH katika kambi mbili za Marekani za Ain al Asad na Erbil nchini Iraq.